Kikwete ateta na Mshauri wa Trump

MKUU TUKUPE VITENDEA KAZI, UTUSAIDIE KUFANYA USAFI ?
 
japo maoni yako ni huru, lakini si sawa kupotosha wengine na kujipotosha mwenyewe na kujifariji kwa upotoshaji huo
Ikumbukwe pia hata wewe bwana gentleman,.

Maoni yako ni huru, lakini si sawa kupotosha wengine na kujipotosha mwenyewe na kujifariji kwa upotoshaji huo.

Pokea buku 7 piga kimya.
 
Ikumbukwe pia hata wewe bwana gentleman,.

Maoni yako ni huru, lakini si sawa kupotosha wengine na kujipotosha mwenyewe na kujifariji kwa upotoshaji huo.

Pokea buku 7 piga kimya.
umefikia ukomo wako wa mwisho wa upotoshaji right, gentleman?
 
well done Jakaya Mrisho Kikwete, retired President of United Republic of Tanzania,

unafanya kazi nzuri na kubwa sana baba kwa maslahi mapana ya Taifa hata baada ya kustaafu
Hivi huyo Jk aliwahi kusikika akikosoa au kupinga ufisadi, utekaji, ufiraji, mauaji ya Watanzania yanayoendelea kutekelezwa na Wahuni??
 
Hivi huyo Jk aliwahi kusikika akikosoa au kupinga ufisadi, utekaji, ufiraji, mauaji ya Watanzania yanayoendelea kutekelezwa na Wahuni??
ukistaafu unakua mtu wa heshima,
sio kuongea ongea na kuropokaropoka kama wengine na taamaa zao za kutafuta kiki,

ikiwa JK ana ushauri, maoni au mapendekezo, anatumia nafasi aliyonayo kutafuta nafasi ya kuonana na wahusika na kuwapa ushauri au uzoefu wake.

mtaafu hana sababu hata moja ya kua mropokaji gentleman
 
Wacha uongo,
Hapingi kwa kuwa anaunga mkono hayo maovu.

Na je, yeye mstaafu kwanini ameenda huko kuwakolisha nchi??
 
Wacha uongo,
Hapingi kwa kuwa anaunga mkono hayo maovu.

Na je, yeye mstaafu kwanini ameenda huko kuwakolisha nchi??
kwani ni kosa na yeye kwenda kwenye jukwaani na kongamano kubwa kama lile gentleman?

au ni chuki binafsi na wivu wa kindezi tu unakusumbua moyoni 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…