Kwamba suala la mo29, Trump amsamehe........Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald Trump anayeshughulikia masuala ya Nchi za Afrika, Uarabu na Mashariki ya Kati.
Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa Mkutano wa Oslo Forum 2026 unaoendelea jijini Oslo, Norway, kuanzia leo Juni 10 hadi 12, 2026.
Mkutano huo umewakutanisha Viongozi, Wanadiplomasia Waandamizi na Wataalamu wa masuala ya amani na usuluhishi kutoka Nchi mbalimbali duniani kwa lengo la kujadili changamoto za usalama, diplomasia na juhudi za kuimarisha amani katika maeneo mbalimbali ya dunia.
😂😂😂Huyu alivyo ndumi la kwili hakawii kumkangaa shosti wake, kwamba hashahurika hata ilye ya oct 29 ni ulevi wake wa madaraka, na ya urusi ni yeye mwenyewe. maza awe makini
Nakazia
Hujui kuwa kazi tayari inaendelea?MKUU TUKUPE VITENDEA KAZI, UTUSAIDIE KUFANYA USAFI ?
Unajuwa wazi unafiki na ulaghai njia kuu zinazotumiwa sasa zisingefanya kazi.Kwa hiyo Mkapa alikuwa Mwenyekiti wa CCM?
Haters kwa kukurupuka sababu ya hatred zenu, mnajua walikuwa wanaongelea nini'?!!!Hatafua dafu, damu za October 29 hazitawahi kusafishwa kwa propaganda.
Ndo akili za nyumbu zilipoishia. Bwana wao lissu anapofanya kazi na wa ulaya na marekani, ambako hata familia yake ipo huko ikiwa Ina uraia kabisa wa huko, haiuzi TanzaniaKila mtu anataka kuuza tanganyika yetu chura aka kizimkazi amepata URUSI na JK amepata U.S.A mwenye Dau kubwa auziwe tu.watanganyika hawajielewi.
Kazi ni kipimo cha utu
Baki hivyo hivyo haterLa kuvunda halina ubani, huyu mzee ana mchango mkubwa kwa maafa ya 29.10.2025
Usimfananishe jk na watu washamba washamba., yaani waporipori.Huyu dingi ni kirusi hatari sana, jiwe alimkataa kiaina.
Bado hautomfikia kwa hadhi sababu yeye mtalikijolea kaburi wakati wewe unakojolewa Sasa hivi. Vitu viwili tofauti.....hadhi yake ni ya juu ukimlinganisha na wewe.KABURI LAKE ITABIDI KUKOJOLEA TU
Ni maneno ya mitahira ya lissu iliyokata tamaa. Tanzania itaendelea kusimama imara milele na milele.Anauza nyago tu, mzee wa kuuza rasilimali aliyebobea...
Ni maneno ya mitahira ya lissu iliyokata tamaa. Tanzania itaendelea kusimama imara milele na milele.Anauza nyago tu, mzee wa kuuza rasilimali aliyebobea...
Jambo la kufurahisha ni kwamba utaanza wewe, hater mshamba na mpumbavu; nyumba ndogo ya lissu; nyumbu lofa la lissu (lile libaraka la walafi wa ulaya na marekani)Uhuru wa nchi hii utapatikana siku ambayo huyu tapeli akiwa chini futi 6
Ni maneno ya mitahira ya lissu iliyokata tamaa. Tanzania itaendelea kusimama imara milele na milele.
Pole sana kwa ugonjwa wa usonji unaokusumbua.Hana impact zaidi ya kuiba na kalala mbele na bomba la gesi yeye na familia yake na mke na mwana bado wanakomba tu sijui yatashiba lini haya mafisipori
Nimeona nembo ya jua ukutani! Kuna agenda za Siri kwenye mkutano huo!Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald Trump anayeshughulikia masuala ya Nchi za Afrika, Uarabu na Mashariki ya Kati.