Kikwete awaachia huru Polisi waliomuua Jenerali Kombe

Kikwete awaachia huru Polisi waliomuua Jenerali Kombe

Usiku huu ikulu imepinga hizi kauli kuwa hajawaachia huru hao watuhumiwa wala kupunguziwa adhabu
 
zile za kuhukumiwa maisha cjui nn ni geresha 2 ile mipango ilikuwepo kabla hata hawajakamatwa sema kupotezea maboya ndio ivo ikawa ..... ila kama kweli jamaa ana moyo safi angewaachia wa kina babu seya ambao hawana hata hatia
 
sijawahi kusikia mtu akimsifia JK.Always kumlaumu kwa maamuzi yake.Why???????????????
 
Nimekuwa nikipitia magazeti ya leo nikakutana na habari kuwa wale askari wawili waliohukumiwa kifo na mahakama kwa kosa la kumuua Kombe wameachiwa huru baada ya huruma ya rais Kikwete kubatilisha hukumu hiyo kuwa miaka miwili,nikajiuliuza kwa nn rais asiitumie huruma hii Babu Seya na wanae?.Kuna nn kwenye hukumu hii ya babu Seya?.Watu waliwahi kusema kuwa kuna mkono wa fulani hapa,msitake niamini hivyo.Na hii ya Kombe nayo!.
Eti
 
Dah

Katika majenerali wanaoniuma roho ni huyu marehemu Luteni jenerali Imran Kombe
 
Back
Top Bottom