Kikwete awaalika wanamuziki wa kundi la Diamond na viongozi wao

Jk anapenda vijana bana na wakati wake ndio wasanii wengi wamevuma na ubongo wa fulevwa kukua kwa kasi
 
Amewaalika??
Wamejialika??
Wameenda msalim??

Come clean guyz!.
 
Nakumbuka Enzi za JK Said Fella akiwa anahojiwa aliwahi kusema "Tumempata rais anayependa michezo na burudani, wasanii tumtumie vizuri ipo siku tutapata rais anayependa fani tofauti tutakosa support"

Taratiiibu naanza kumuelewa Fella
Kuna kiongozi mmoja ukimuuliza kuhusu Ndada fc atakwambia ni chemical fulani sijui kama anafuatilia mambo ya soka
 
Leo "Mswahili" anasifiwa , watu wanamkumbuka kama alivosema mwenyewe "Ipo siku mtanikumbuka" ALHAMDULILLAH Mwenye ez Mungu akujaalie afya njema kaka yangu Jakaya na Dada yangu Salma.
 
Nakumbuka Enzi za JK Said Fella akiwa anahojiwa aliwahi kusema "Tumempata rais anayependa michezo na burudani, wasanii tumtumie vizuri ipo siku tutapata rais anayependa fani tofauti tutakosa support"

Taratiiibu naanza kumuelewa Fella

Huyu wa Sasa anapenda sanaa ya Uhandisi na Ukandarasi. Zamu ya kina Said Fella imepita na hairudi tena
 
Hahaha mziki mwisho chalinze mjini kila mtu viwandaaa
 
Hongera jk kwa kufanya mazoezi ya kupunguza mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…