Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kiongozi mmoja ukimuuliza kuhusu Ndada fc atakwambia ni chemical fulani sijui kama anafuatilia mambo ya sokaNakumbuka Enzi za JK Said Fella akiwa anahojiwa aliwahi kusema "Tumempata rais anayependa michezo na burudani, wasanii tumtumie vizuri ipo siku tutapata rais anayependa fani tofauti tutakosa support"
Taratiiibu naanza kumuelewa Fella
Nakumbuka Enzi za JK Said Fella akiwa anahojiwa aliwahi kusema "Tumempata rais anayependa michezo na burudani, wasanii tumtumie vizuri ipo siku tutapata rais anayependa fani tofauti tutakosa support"
Taratiiibu naanza kumuelewa Fella
😀😀😀Mwisho wenu ni hukohuko msoga ikulu wanaingia wawekezaji tuu na watu na heshima zao kama mmeimiss sana iangalieni kwenye note ya elfu moja mlale.
Ulitaka aongezeke?af mbn km kapungua?
Kwahiyo stress zinanenepesha?Kapungua, labda sababu no stress.