KIKWETE: Awaponda UKAWA

KIKWETE: Awaponda UKAWA

Tumuulize hiyo Rasimu ya serikali mbili ccm wanayongangania Ukawa waijadili wameipata kutoka kwa wananchi gani na kwanini washiriki kujadili sera ya ccm na si Rasimu ya wananchi yaani ya Warioba wao waindelee tu kupitisha sera ya chama chao kwakuwa wameona maoni yetu hayafai.
 
Katika Sehemu ya hutuba ya Rais Kikwete akizungumza Dar anasema hati ya Muungano ipo,ni sahihi,Nyerere alipostaafu alimwachia Mwinyi, Mwinyi akampa Mkapa, mkapa akampa Kikwenye ambayo bado anaihifadhi na alionyesha kupitia mtumishi wake Ikulu

Anasema ukisema Nyerere sahihi sawa Karume kaguzi sio kweli ilifanyika Ikulu Kamboa alishuhudia lakini ndio hivyo tunapata uchungu ila tuyaache alisema Kikwete

Alisema Karume alithubutu Mpaka Zanziba ikapata uhuru tuwaheshimu viongozi wetu Nyerere na Karume katu wasielekezewe vijembe alisema Kikwete

Alijiuliza hivi hawa nanafanya kwa maslahi yao ama kwa taifa nawashauri warejee Bungeni lakini waajumbe wa pande zote hata wale wa kwetu waache matusi

Ukiwauliza wanasema wanatukasirisha, tumieni mfumo mliojiwekea acheni ushindana shirikianeni mpate katiba muwasaidie watanzania

Akasisitiza njia mbadala ni maridhiano jengeni hoja na kuwa umahiri wa kuwavutia upande mwingine wawe pamoja ila bado naamini katiba inaweza kupatikana

Jambo kubwa linaloweza kufanya muungano udumu ni jinsi unavyonufaisha watu kama ungekuwa haufai ungekwisha kufa siku nyingi ilisema sehemu ta Hutuba ya Rais Kikwete Jijini Dar

Kuhusu mafanikio Kikwete anasema barabara za lami zimejengwa Reli zimejengwa na kuimarishwa viwanja vya ndege vimejengwa na kuimarishwa uwanja wa mpira ZANZIBAR nao unaimarishwa Sehemu ya kurushia simu maendeleo ya simu usiseme watanzania mil 27 wanasimu alisisitiza Kikwete

Bomba la gezi limakamilishwa kuondoa adha ya umeme mambo yanakwenda vizuri kwahito watanzania msihofu mambo yanakwenda vizuri tumefuka lengo "mambo safi" alisema

Kwenye elimu mtoto wa bara anasoma Zanzibar na zanzibar anasoma Bara zaniba zilikuwa 62 tu zaza siko laki tatu leo tuna shule zaidi ya elfu ...mambo SAFI ALISEMA IKWETE mafanikio hayo

Lakini pamoja na mengi aiyosema hajasema vyanzo na rasilimali zetu zinatunufaishaje kama vile madini ardhi misiti wanyama kwamba zinagawanywa kwa usawa?

anaendelea fuatana nami...

Inawezekana kweli hiyo hati ikawa halali?kwanini ninauliza hivi,kwasababu hiyo hati imeombwa sana bungeni,imechukuwa muda mrefu sana ndiyo ikatolewa,kwanini ilichelewa hivyo?na mashaka sans na viongozi wetu
 
jamaa huwa anarukaruka tu! Muulize kama enzi za uhai wake nyerere kama walirusiwa kupata mishahara miwili!, jk aseme kama mwanae riz1 anayofanya anamuenzi baba wa taifa hili!
utapata pressure bure,pia mwanaume hapaswi kua mtu wa kulalamika lalamika.
 
jk kachafua hotuba yake alipogusia swala la hati.ipo kama ipo ni halali,na kama ni halali je muungano wetu ni halali hajajbu hoja.
Kila siku naumia moyo wanaccm wanapopata nafasi ya kuongelea hati afu wanashindwa kujbu hata kwa njia ya magumash wala kisiasa.
Sijawah ona wakijbu kwani hakuna wataalam wa sheria.


siku zote namueshimu anayesumbua wengi bila kusumbuliwa
 
Mkuu hilo nililo bold ni tatizo kwangu nataka kujua mwenye kujua atufafanulie zaidi:

Hivi wanasiasa wenye vyeo zaidi ya kimoja, mfano yeye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama chake, ni Mbunge wa kuchaguliwa jimboni mwake na ni Naibu Waziri wa Wizara katika serikali ya JMT.

Au ni Mbunge halafu Mkuu wa Mkoa fulani, au ni Mbunge na ni Waziri. Je hawa watu wanalamba salary zaidi ya moja kwa mwezi?

Ndugu yangu jibu ndio na si salary tu over time, usafali, nyumba, posho nk
 
Back
Top Bottom