KIKWETE: Awaponda UKAWA

Tumuulize hiyo Rasimu ya serikali mbili ccm wanayongangania Ukawa waijadili wameipata kutoka kwa wananchi gani na kwanini washiriki kujadili sera ya ccm na si Rasimu ya wananchi yaani ya Warioba wao waindelee tu kupitisha sera ya chama chao kwakuwa wameona maoni yetu hayafai.
 

Inawezekana kweli hiyo hati ikawa halali?kwanini ninauliza hivi,kwasababu hiyo hati imeombwa sana bungeni,imechukuwa muda mrefu sana ndiyo ikatolewa,kwanini ilichelewa hivyo?na mashaka sans na viongozi wetu
 
jamaa huwa anarukaruka tu! Muulize kama enzi za uhai wake nyerere kama walirusiwa kupata mishahara miwili!, jk aseme kama mwanae riz1 anayofanya anamuenzi baba wa taifa hili!
utapata pressure bure,pia mwanaume hapaswi kua mtu wa kulalamika lalamika.
 
jk kachafua hotuba yake alipogusia swala la hati.ipo kama ipo ni halali,na kama ni halali je muungano wetu ni halali hajajbu hoja.
Kila siku naumia moyo wanaccm wanapopata nafasi ya kuongelea hati afu wanashindwa kujbu hata kwa njia ya magumash wala kisiasa.
Sijawah ona wakijbu kwani hakuna wataalam wa sheria.


siku zote namueshimu anayesumbua wengi bila kusumbuliwa
 

Ndugu yangu jibu ndio na si salary tu over time, usafali, nyumba, posho nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…