Kikwete azindua Windows 7 ya Kiswahili

Ni kweli kwamba issue ya virus sasa hivi ni tatizo kubwa sana. Hapo kabla pengine hii ilitokana pia na uchangiaji wa taarifa kutoka kwenye komputa haukuwa mkubwa katika kiwango cha leo.
Leo hii Anti virus ni biashara kubwa kuliko hata applications software kama office na hata operating systems, hizi mnaweza kuchangia lakini suala la anti virus ni lazima uwe na ya kwako na ni lazima uisajili kwenye data base ya mtengenezaji kwa ajili ya kupata definition ya virus wapya vinginevyo huna anti virus.

Hafly nimehamia Ubuntu kukimbia virus wa windows.
 
Maskini waswahili wanajivunia lugha feki kama kiswahili, eti lugha kubwa ya afrika? hebu ondoa maneno ya kiarabu na english, hamna lugha hapa, ili tupate kujivunia basi tuingize maneno mojamoja za lugha za kiafrika, japo ile na sound zaidi ya kibantu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…