Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 130
Ni kweli kwamba issue ya virus sasa hivi ni tatizo kubwa sana. Hapo kabla pengine hii ilitokana pia na uchangiaji wa taarifa kutoka kwenye komputa haukuwa mkubwa katika kiwango cha leo.lengo la microsoft siyo windows 7 ya kiswahili,lengo kubwa ni kujipenyeza ktk public sector za Africa.huko ulaya na asia wameshaachana na microsoft products kwa sababu zifuatazo.
-All Microsoft products must be vetted by NSA,FBI,CIA and other agencies,kwa lengo la kuweka loophole za kuingia ktk computers bila kizuizi na mtumiaji hawezi jua.
2- microsoft products hazimruhusu mtumiaji/mtaalam kufanya mabadiliko yeyote ktk software zao(soma EULA licence yao)
3-products za microsoft zina licence ya gharama za kila mwaka ,na pia zipo prone to virus attacks.
nchi za europ wamehamia ktk linux,e.g ubuntu,kubuntu. mfano hai ni bunge la ufaransa linatumia kubuntu linux,brazil hivyo hivyo.tatizowataalam wake JK wapo bize na posho za safari hawataki kufanya maamuzi magumu ya kuachana na microsoft
Leo hii Anti virus ni biashara kubwa kuliko hata applications software kama office na hata operating systems, hizi mnaweza kuchangia lakini suala la anti virus ni lazima uwe na ya kwako na ni lazima uisajili kwenye data base ya mtengenezaji kwa ajili ya kupata definition ya virus wapya vinginevyo huna anti virus.
Hafly nimehamia Ubuntu kukimbia virus wa windows.