Elections 2010 Kikwete: Bila safari za nje tungekufa njaa

Elections 2010 Kikwete: Bila safari za nje tungekufa njaa

;Ninapokwenda nje nakwenda kwa malengo. Siende tu. Siwezi kukaa Ikulu jijini Dar es Salaam, kuangalia uzuri wa mke wangu Salma … hapana lazima nikutane na watu huko huko waliko," alisema JK

Hi ni kauli ya kejeli na dharau kwa wananchi waliompa jukumu la kuwatumikia. Kama tungetaka amuangalie mkewe si tungempeleka BBA.

Cant imagine @ BBA,
 
It is very sad that we have a leader who is perpetuating a dependency mentality. Whatever happened to it can be done, play your part?
 
]"Kuna wakati nilikwenda Marekani nikakutana na rafiki yangu akasema wewe kwako si unatatizo la malaria, nikamweleza ndiyo akasema atanikutanisha na mtu atakayenisaidi na kumaliza tatizo ... kweli akanikutanisha naye na akanunua vyandarua vyenye thamani ya Dola milioni 78," alisema.

Hebu ona - a President - elected by the people, for the people; of the people - anaongelea vitu kama vyandarua - wakati janga la umaskini umekithiri - hao anaowanunulia vyandarua hata proper housing hawana - vitanda vyenyewe viko wapi - wakati wagonjwa wanalala chini??? yaani yeye hana priorities kwenye kuona matatizo ya wananchi wake??? asijetetee - anapenda sana kupanda ndege, kutanua ulaya kwa kodi zetu - RAIS MZIMA UNAKWENDA KUOMBA - KWANI ANGETUMA MTU MWINGINE SI ANGEENDA? NILISHANGAA ETI ANAENDA KUKUTANA NA SPORTSMAN -................... yaani mambo ya kitoto sana - SORRY TO SAY THIS - BUT JK HAS NEVER BEEN SERIOUS - WALA SIDHANI ANAJUA MAENDELEO NI NINI ...................... YEYE ANAONA MTU AKILA UGALI WA MHOGO NA SAMAKI WA KUKAANGA TOKA MTO RUVU INATOSHA - SINCERELY BILA KUMBADILISHA - TANZANIA WILL NEVER NEVER PROSPER - USHAMBA KITU KIBAYA SANA

BARABARA ZIPI ANAONGELEA - AU KWA VILE AKIPITA ANAPIGIWA VIGHORA NA TRAFFIC POLICE ANAPISHWA - AKAE KWENYE FOLENI AONE HIZO BARABARA KAMA ZIPO AU LA??? anyway ......................... PEOPLE VOTE FOR DR SLAA - AND EXPECT CHANGES IN OUR DEAR COUNTRY :angry: LETS BE SERIOUS !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu ni sawa na mtu mwenye simu na gari kijijini ambae anatia petroli gari na kuenda mjini kuomba mafuta ya taa...si angepiga simu kwa huyo rafiki kwani mpaka aende?
 
Sasa nimeelewa kwanini walikataa MDAHALO.Kauli hiyo angeitoa katika mdahalo Jahanamu ingemwangukia.Korea kaskazini kiongozi wake ameenda nje mara ngapi,wana hali gani,Thailand viongozi wao wanasafiri mara ngapi??
Mheshimiwa ni lazima aelewe ya kuwa safari yake moja ya nje inakamua hazina.
 
Tanzania haipaswi kufikia mahala pa kuomba chakula nje au kulalama njaa. Kwa rais kufanya safari za nje kuomba chakula ni aibu kwa nchi yetu!
 
Uzuri ni kuwa hata Kikwete mwenyewe hafahamu kwa nini sisi ni Masikini......

Watamchagua tu wale ambao katika hali kama hii wanafaidi. Vinginevyo basi au hajui au akili za huyo mtu ziende Mirembe.

attachment.php


Ndo maana balozi wa Ujerumani kasema hajui kwanini Tanzania ni masikini. Sasa Rais anaacha resources zote zimejaa hapa ambazo anaweza kuziexploit effectively kwa maslahi ya nchi anakwenda kukaa mahali na kuomba? Sijui na hao washauri wake ni akina nani?


SOURCE: THE GUARDIAN
 
"Kuna wakati nilikwenda Marekani nikakutana na rafiki yangu akasema wewe kwako si unatatizo la malaria, nikamweleza ndiyo akasema atanikutanisha na mtu atakayenisaidi na kumaliza tatizo ... kweli akanikutanisha naye na akanunua vyandarua vyenye thamani ya Dola milioni 78," alisema.

" DOLA MILIONI 78 (kama shilingi bilioni 113) KWA AJILI YA KUNUNULIA VYANDARUA?????" hii naona haijakaa sawa, Watanzania wanahitaji hivyo vyandarua kweli?, tatizo la malaria litamalizwa kwa kununua vyandarua ama kuondoa mazalia ya mbu?, napata shida juu ya uwezo wa Rais wetu kutambua matatizo ya wananchi wake na njia sahihi za kuyatatua.

Hamjui hiyo ilikuwa ni deal tu ya kupata hela za kampeni za CCM? Hilo limo katika makombora 20 ya Dr Slaa atakayoanza kutoa zikibaki siku 20 kufikia uchaguzi! CCM wanahaha kumnyamazisha. Hata kile kiwanda cha Arusha ni mradi wa kuipatia pesa CCM. Kikifungwa itakuwa faraja kubwa -- kwani serikali itarudi kwenye kampeni ya kweli ya kutokomeza malaria kama vile ilivyokuwa enzi hizo.

CCM imefikia mahali ambapo wako tayari waendelee na kampeni za kijinga dhidi ya malaria ili wananchi waendelee kuumwa Malaria ili wao wakae madarakani. Yule aliyekuwa Mbunge wa Dodoma -- Sagaf -- aliwahi kuiumbua serikali Bungeni kwamba vyandarua hivi vya dawa hakuna lolote kwani mbu anaweza kumuuma mtu hata mchana na akapata malaria. Waziri wa afya akaanza kupata kigugumizi!
 
"Ninapokwenda nje nakwenda kwa malengo. Siende tu. Siwezi kukaa Ikulu jijini Dar es Salaam, kuangalia uzuri wa mke wangu Salma … hapana lazima nikutane na watu huko huko waliko," alisema JK ."

Hi ni kauli ya kejeli na dharau kwa wananchi waliompa jukumu la kuwatumikia. Kama tungetaka amuangalie mkewe si tungempeleka BBA.


Hapo umeniacha hoi!
 
Kumbe ndio kazi anayofanya asipukuwa nje ya nchi?
Ndio maana ameo dogodogo kwa sababu muda mwingi anakuwa anawaza NGONO.
 
Hivi kwani hospitali zetu hazipimi afya akili, bafikiri ingekua jambo la maana kama tungewapima wagombea na ayfa ya aKILI yao , kuna mabo yanaendelea mimi yananitia shaka kidogo
 
Huyu jamaa washauri anao wengi tu, lakini woote na yeye mwenyewe lao moja ni kutalii na kuingiza allowances zao. Ukiuliza maana ya kuwa na mawaziri pamoja na waziri wa mambo ya nje na mabalozi karibu kila nchi hawa wote kazi yao nini mpaka mkuu wa nchi aende nje kuomba vyandarua au kushukuru kwa kupewa misaada fulani, au kuimarisha uhusiano ? kama ni hivyo basi huyu mkuu hahitaji tena mawaziri wala mabalozi. Kama ni mchapa kazi kiasi hiki basi tuta-save mishahara ya mabalozi na mawaziri wake amabao hawahitajiki.
 
Namshauli raisi kikwete ateue washauli wazuri na awasikilize labda itasaidia!
Ulipaswa kumshauri kwamba ahakikishe anapaki mapema ili kumpisha rais wa tano wa Jamhuri ya Tanzania.
Unapomshauri achague wasaidizi wazuri ina maana wewe hujui kuwa tunaelekea kwenye uchaguzi na ana kila dalili ya kuachia kiti? labda umshauri achague maeneo mazuri ya kutembelea wakati wa pensheni yake.
 
Kikwete:My legacy to Tanzanians Friday, 01 October 2010 08:33 digg

jk%20urambo.jpg
Jakaya Mrisho Kikwete

By Citizen Reporters
President Jakaya Kikwete yesterday outlined issues that he would like Tanzanians to remember him after his leadership as Chadema Presidential candidate, Dr Willibrod Slaa promising subsidy to all religious hospitals in the country to enable them provide health services free to all Tanzanians.

Addressing a campaign rally in Urambo West constituency, President Kikwete said he would like Tanzanians to remember him for improving irrigated agriculture through Kilimo Kwanza initiative; use of fertilisers and pesticides as well as production of many extension officers.

He said he would like Tanzanians to remember him on creating markets for agricultural products, improving infrastructure especially roads and mechanisation of agriculture.

He conceded that targets set in a number of areas like water and infrastructure have not been achieved fully but promised that in the next five years he would strive to ensure that they meet all the targets if elected.

He said many projects have not been achieved fully because of donor dependence.

On his foreign trips, which have been lamented by many opposition politicians, Mr Kikwete said the country would not been where it is today development wise, if he would have not gone to seek assistance.

“If I had decided to sit at the State House looking at my wife Salma and tell her she is beautiful, I think many Tanzanians would have died of hunger... to achieve what we have achieved I had to travel to US and other places to meet donors and supporters,” he said.

for his part, Dr Slaa made the promise when addressing a campaign rally at Kiungani grounds in Ifakara town, Kilombero district in Morogoro region yesterday.

Dr slaa said there were many hospitals run by religious institutions which were fundamental for provision of health services but cannot be accessed easily by majority of Tanzanians.

“The first budget of our government will provide subsidies to all religious run hospitals so that they extend their quality services free to all citizens,” said Dr Slaa.

He also promised to make sure that Kilombelo and Rufiji valleys were effectively utilised to produce food for the country and stop berging for assistances.

“Kilombero can be turned into a bread basket as it is endowed with many valleys. If we will utilize them well we will get surplus food and stop begging outside the country. We will also be able to increase employment to our people,” said Dr Slaa.

He dismissed Presidents Kikwete promises of building infrastructures and other things noting that they were within the budgets and anyone who is elected president will implement them.

“Roads, bridges, water, health centres are within the budget and are the works of councils and municipals, why are they not addressing the sources of those problems?” asked Dr Slaa who noted that Chadema was offering new measures which the government has failed to tackle.

He defended Chadema policy of free education to all noting that even Mwalimu Julius Nyerere had managed to provide free education.

“If the late Nyerere managed to provide free education in those days when we had scarcity resources, why not today where we have a lot of revenue and other natural resources to boost our income?” he posed.

He aid Chadema will not only provide free education to the public but also to make sure the quality of that education is improved.

He said the problem of employment will be solved by providing good education. He said number of employed people would not include youths who sale water or collecting plastics bottles in streets.

The Chadema parliamentary candidate in Kilombero, Ms Regia Mtema told the rally that first thing she will work on was to make sure the residents of Kilombero get reliable electricity.

“It is a shame to us, two sources of electricity Kidatu and Kihansi are in this district but only one percent of the residents in the district are using electricity. Health centres are using candles, I will make sure you became first beneficiaries of these services,” said Ms Mtema.

Meanwhile, the United People’s Democratic Party (UPDP) presidential candidate, Mr Fahmi Dovutwa campaigns have halted for six days now after he fallen sick.

Speaking to the Citizen yesterday, Mr Dovutwa said he is suffering from stomach ache as a result of a lot of gas which causes pneumonia.

“I am still bedridden. I started to feel sick last Saturday and I received treatment from Tumaini Hospital,” he said noting that he was planning to return to the hospital this month for further treatment.

Speaking over the phone, he was not aware on when he would start his campaigns as his health was still deteriorating.

“I don’t know what will happen as I have not started my campaigns while my colleagues are continuing,” said the presidential candidate who in his party manifesto had promised to make Tanzania produce arms locally.

Reported by Ibrahim Bakari (Kaliua), Beatus Kagashe (Kilombero) and Fredy Azzah (dar)
 
My friend, kumtenganisha mtu na hulka yake ni kazi nzito sana. Nani angetarajia kikwete aliyekaa serikalini kama waziri wa mambo ya nchi za nje kwa miaka kumi eti aanze kuzunguka duniani kwa kisingizio cha kujitambulisha baada ya kuapishwa kuwa rais???? Ukweli ni kuwa huyu jamaa ni mtu wa kujisikia, mwenye nyodo sana na mpenda matanuzi. Uliona au kusikia wapi duniani hapa rais wa nchi ambaye yupo kwenye ziara ya kiserikali anapata muda wa kubembea na mke wake!! Rais Bush mwenyewe alipokuja Tanzania alitamani atembelee Ml. Kilimanjaro lakini inasemekana hakuweza kufanya hivyo ili kutovuruga ziara ya kiserikali. Lakini, kikwete akiwa ughaibuni huwa anawasumbua hata mabalozi wetu huko wampeleke kwenye maeneo maarufu au kuonana na watu maarufu kama wanariadha, wachezaji wa mpira wa kikapu, wanamuziki n.k.

Ukweli ni kuwa kilichomsukuma kuutafuta urais ni huo ufahari na siyo shida za wananchi wenzake. Ndiyo maana amewahi kumjibu mwandishi fulani wa habari wa kimataifa kwamba hata yeye hajui ni kwa nini nchi yetu ni maskini. That means waTZ tunaongozwa na kiongozi mbumbumbu kiasi hicho!! Yeye anadhani uchumi wetu utajengwa kwa vijimisaada uchwara anavyopewa kama zawadi na wahisani anapoenda kutalii huko. Kwa akili yake yeye hata vita dhidi ya malaria ameridhika kuwa itapiganwa kwa kutumia vyandarua. Mamilioni ya fedha yanatumika kuandaa vipeperushi na kutoa matangazo kwenye vyombo vya habari kuhamasisha matumizi ya vyandarua badala ya kuangamiza mazalia ya mbu na kuelimisha wananchi namna ya kusafisha mazingira yetu. Jamani nchi hii hatuna kiongozi mkuu. Tunachohitaji sasa ni kuchukua hatua ya kumwondoa kupitia kwenye sanduku la kura ili arudi zake Chalinze akaishi na familia yake kwenye mahekalu anayoendeklea kujenga kwa fedha za wananchi maskini.
 
Haya achaguliwe tena kwa miaka mitano ili akakae Ikulu kuangalia uzuri wa Salma! nani kamwambia Ikulu ni sehemu ya kushangalia uzuri wa Salma? si anaweza kwenda kufanya hivyo kule:horn: bwagamoyo?
 
Back
Top Bottom