Kikwete face to face with Drogba

ibrah,unajua lunch ya watu kama 80 ni kiasi.hivi mnadhani hao watu wakienda ulaya wataitangaza tZ yetu ?how ?taifa stars wakienda Nigeria na kula lunch na raisi wao wataenda mahali kuitangaza nigeria na sio Tz ?mimi nina wasiwasi na hayo mawazo ambayo watu wanayo.lets wait n see lkn lunch kwa watu 80 na hali kama ya njaa na mafuriko sehemu mbali mbali..it doesnt make sense to me..na subirini akishashinda kwa kishindo mwisho wa mwaka..hiyo miaka mitano inayokuja mtaipata
 
Acha mawazo mgando wewe,unataka hela za walipa kodi zitumike kufanya nini? Wewe nyumbani kwako ukijiwa na mgeni unafanya nini?

Hii ni nchi bwana.

Tuliza boli uwanja mdogo, utapaisha bure!!

Hizo hela za walipa kodi zingetumika kuwapa hawa watoto madawati na kuwajengea madarasa sio kwenda kuzitumbua, unafikiria hawa wanafunzi wanafaidika na ujio wa kina Drogba?

Talking about mawazo mgando wewe unategemea hao wachezajiwa Ivory Coast wataitangaza Tanzania kisa wamepewa lunch na Rais, Na nchi yao nani ataitangaza?

 
lakini wazee hatutegemei jeikei akaja kununua madawati huku kigoma,ndio maana kunakuwa na uongozi katika kila ngazi.

kunakuwa na allocations of funds kwenye kila idara,tatizo ni viongozi wote.

mbona obama kila siku tunamwona yupoo bize na watoto/familia yake mara ice-cream mara nini mara hivi na U.S inasonga mbele?
 
What about those who die of hunger in different places in TZ? and their beloved prezo is having good time throwing parties for Drogbas, what a shame this is?
 
What about those who die of hunger in different places in TZ? and their beloved prezo is having good time throwing parties for Drogbas, what a shame this is?

Nah, the president is doing his job😱... afterall the lunch imelipiwa na wanaoitakia mema nchi yetu😀 baada ya kugundua chochote kinachofanywa na mawaziri huwa hakipewi uzito... Labda yule anayetumia mda wake kuongea na simu kwenye ATM wakati watu wamepanga foleni wakitumia mda wa kazi
 
What about those who die of hunger in different places in TZ? and their beloved prezo is having good time throwing parties for Drogbas, what a shame this is?
mama lao naona hapa unamix vitu viwili tofauti!
hizi njaa na umaskini wetu visitufanye tushindwe ukimarisha uhusiano wa kimataifa na nchi nyingine!
.......unajua ishu ya ndrogba ni zaidi ya futiboli!...
 
lakini wazee hatutegemei jeikei akaja kununua madawati huku kigoma,ndio maana kunakuwa na uongozi katika kila ngazi.
Angewaachia TFF na waziri wa michezo wawaandalie hiyo lunch lakini sio rais wa nchi.

kunakuwa na allocations of funds kwenye kila idara,tatizo ni viongozi wote.
Hehehehe ndio maana tumetenga bilioni saba za kampeni za kombe la dunia wakati tuna matatizo chungu nzima. Kwa kifupi hatujui kuzimanage hizo funds, tunaunguza funds zetu kwenye mambo ya mpito.

mbona obama kila siku tunamwona yupoo bize na watoto/familia yake mara ice-cream mara nini mara hivi na U.S inasonga mbele?
Umeshasema familia yake, Obama alivyompeleka mkewe NY kwenye Broadway show wananchi walimpigia makelele kama hawana akili nzuri.
 
mkuu,
unasahau kwamba kuna kipindi ambacho hizi mechi za kimataifa TENA ZA KIRAFIKI zinakuwa involved na mambo ya SIASA!

AKIWA NYUMBANI J.K ALIPASWA KUFANYA HIVYO!enewei......
 
Hata mimi sioni tatizo kwa hilo alilolifanya Mr. President. Naona Mi-Tanzania mingine inataka kuwa michoyo hata kwa chakula
 
hata mimi sioni tatizo kwa hilo alilolifanya mr. President. Naona mi-tanzania mingine inataka kuwa michoyo hata kwa chakula
you have said it!...........
 
Tatizo litatoka wapi wakati pesa inakotoka hujui.
 


Ukiona rangi nyeusi jua nimeongeza chumvi Khe khe khe .


Huyo aliyo Magogoni ni lord loafer. Tena hapo umegonga msumari kunakohitajiwa.
 

Mkuu,

Mimi sina tatizo na ukarimu wa mkuu tatizo langu hapa ni priority. Tuna watu kule kilombero wako katika hali ngumu ya kimaisha baada ya mafuriko lakini JK hajatia mguu huko. Je anaweza kusema hana nafasi? Muda alioutumia kuangalia mechi juzi ulikuwa unatosha kwenda kilombero kuwapa pole raia wake kule!!!!

Chakula kwa wafukuza gozi la ng'ombe ndio kipaumbele chake. It is very amazing!!!

Tiba
 
Kula ni kula mbaya kukomba mboga!Hata wewe ukipata nafasi kama hiyo utakula tuu tusidanganyane!Thidanganyikiiiii!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…