Kikwete frustrated at the UN?

Kikwete frustrated at the UN?

Nyani,

Na wewe ulivaa jezi gani kwenye chama hilo? With speechwriters like Makamba no wonder anachemsha.

Unajua rais anaweza kuwa hamnazo lakini akajua kuji-surround na watu wenye uwezo akapeta.

Sasa Kikwete hamnazo anaji surround na watu ambao sifuri kama yeye, the Mkullos, Makambas (father and son, both bogus) watu kama kina Cisco mtiro sijui, ovyoo.

Sasa unategemea nini? hamna kufunga wala nini, kwani Ahmadinajad hajafunga?

Bana wee, mimi sikuwa hata na jezi....nilikuwa kama wale wachezaji wa Taifa Stars waliocheza na Sudan bila jezi...kidari nje!! Sikujua kuwa huyo February Makamba ni bogus...lazima utakuwa na insight nzuri baada ya kubishana naye sana na sitashangaa na yeye akikuona na wewe kuwa ni bogus. Lakini mwenzako Rev. Kishoka, (another YA alum) aliwahi kusema huyu March Makamba anaweza/ anafaa sana kuja kuwa raisi baadae. Me, dunno.....
 
1.

2.

3.

Mkapa, alikuwa mkurugenzi wa Daily news/Uhuru na Mzalendo, akawa Mwandishi wa rais, akawa balozi Nigeria, Canada, DC, Waziri Habari, Waziri Nje, Waziri Elimu Ya Juu, rais,

Hajawahi kuwa balozi wetu UN, Case closed!

Huu sasa ndiyo ubishi usio na sababu. Amekiri kuwa alikosea. Alimaanisha US na si UN. Sasa tuna ubalozi wa DC (District of Columbia) au US (United States of America)? Nae arudi akusahihishe kuwa hatuna balozi wa DC bali US? hii kwa mantiki kuwa umetaja Nigeria na Canada ambazo ni nchi pamoja na DC ambako ni ka eneo kanako jumuisha mji wa Washington!

Si lazima tu'score points' kwenye kila kitu.
 
Na wewe unafanya hivyo hivyo....
 
Waungwana naomba kama kuna mtu ana copy ya makala alizoandika Jenerali Ulimwengu kuhusu historia na tabia ya Mheshimiwa wakati anaingia madarakani (kipindi hicho Jenerali anaandika makala zake kwenye gazeti la Rai) azipost hapa ama anirushie kwa pm tafadhali. Kwa hali ilivyo sasa nimekumbuka makala za Jenerali Ulimwengu kuhusu Mheshimiwa zilikuwa na ujumbe mzito sana na ni muhimu kuzipitia tena kwa undani. Naomba msamaha kama nimetoka nje ya mada.
 
....if that is true is really undiplomatic comment ..amounting to enterfearance of internal matters of RSA gorvernment......statement like that could be timely placed on mwanawasa"s funeral....you can not regard mbekis move as A LOSS[TRAGGIC]..it is rather a DEMOCRATIC move......amekosea sana ..ndio maana itabidi kikwete awe anatembea na mtu wa kumnongoneza maneno ya kusema sikiomni kila anapoenda ..kwani akili yake na mdomo havina ushirikiano.......nadhani mnakumbuka last days za YASSER ARAFAT hasa baada ya kupata mild stroke or parkingsons signs....kila anapoenda nyuma yake alikuwa anakuwa na msaidizi wa kumsaidia cha kuongea pale anapoona anakwama.;....i think our president need that.....nakumbuka kusoma kuhusu marais wa zamani wa marekani ...kuna mmoja wao zamani alikuwa ameweka msaidizi nyuma yake wa kumkumbusha majina ya watu anaokutana nao..alikuwa na tatizo la kukumbuka majina ya watu.....ie mtu akija mbele yake msaidizi atamnongoneza "..........mr pressident..infront of you is former governor jefferson you played golf at his ranch last summer..."""...nayeye hapo hapo atasema ..."...halllo mr jefferson welcome to whitehouse....i enyoyed last time we played golf...bla..bla.."..unajuwa kwa wazungu ..au kistaarabu kumtaja mtu kwa jina ni muhimu sana!!!............

Mbeki’s resignation blow to Africa : JK
DAILY NEWS Reporter in New York
Daily News; Tuesday,September 23, 2008 @20:08

Also in the News
CCM wins Lindi by-elections
Mwanri wants timely release of development funds
Ex- Rwanda lawyer jailed for life
Case on Wangwe’s accident for hearing Oct 7
Mwanza City to get World Bank support
FDI flow to Tanzania increases
JK presents UN boss with Helsinki Process report
Zombe refused to make statement
Business resumes at NMB
More light shed on NMB saga

THE resignation of South African President Thabo Mbeki is a great loss and major blow to Africa, African Union (AU) Chairman, President Jakaya Kikwete has said.

Mr Kikwete said it is a great blow to the continent to have lost a prominent leader who has had immense contribution to the development of Africa.

The president made the comments when addressing reporters during the United Nations High Level Event on Africa’s Development Needs on Monday.

He said that it is saddening to learn that Mr Mbeki is no longer the president of South Africa and that absence of his leadership is a great loss to Africa because of his prominence and prowess.

Mr Mbeki, he said, partook in establishing many development programmes for Africa, citing the New Partnership for Africa’s Development (NEPAD) as his personal initiative.

In another development, Mr Kikwete said that Tanzania is doing well in some areas and failing in others with regards to the implementation of Millennium Development Goals (MDGs).

The president was responding to questions on Tanzania’s implementation of MDGs and if at all it is possible for the country to attain them in the remaining seven years.

He mentioned the areas that the country is performing well as education, gender equality in accessing education especially in primary and secondary schools and reducing infant mortality rate.

Mr Kikwete said that while only half of the timeframe to attain the goals remains, he still believes that even the most difficult targets could be attained so long as rich countries that had promised resources to attain the goals fulfil their promises.

View Visitor's comments on this Story

COMMENTS ON THE STORY
 
Mr. President Sire!

We are facing a crisis in our education system due to poor and backward curicullum in addition to politicization of the whole education sector.

As you are enjoying the Futari in New York, on your arrival in Dar you may be facing strike by students from all higher education institutions.

Last month, Kids in Dar almost called for your head demanding their futire being protected.

Your government has just been forced to acknowledge and approve teaching licenses to hundreds of teachers who were diqualified for multiple reasons!

Two months ago, your National Examination council came forth and admitted that more than 35% of teacher's college in Tanga had forged certificate so that they can get admission and scholarships

How can you equate the abundance of buildings to house students without books or well trained and qualified teachers to be a success story?

How can you state that we are making strides while in rural areas, these kids are forced into labor to help their parents in economic activities to sustain the family welfare and wellbeing?

Majority of these kids are living in abject poverty, always hungry, poor shelter and sickly!

I think Mr. President you need to get your head out of sand and be honest to yourself!

Your administration has done nothing of substance in the last 3 years you have been in power. There has never been a clear vision of your leadership or clarity in your policies.

Check your facts again Mr. President, 31% of Tanzanianwho are considered to be adults (18 years old and above) are illiterate! 52% of Tanzanians have admitted living in abject poverty.

How can infant mortality be in redux if half of your country citizens are living in abject poverty and 31% of those who are being expected to be productive are illiterate?
 
Huu sasa ndiyo ubishi usio na sababu. Amekiri kuwa alikosea. Alimaanisha US na si UN. Sasa tuna ubalozi wa DC (District of Columbia) au US (United States of America)? Nae arudi akusahihishe kuwa hatuna balozi wa DC bali US? hii kwa mantiki kuwa umetaja Nigeria na Canada ambazo ni nchi pamoja na DC ambako ni ka eneo kanako jumuisha mji wa Washington!

Si lazima tu'score points' kwenye kila kitu.

The bottom line, Mkapa hajawahi kuwa balozi UN again case closed na no blah blah blah about it!.
 
Hivi jamani mbona tumeacha hoja ya msingi na kuingia katika mabishano ambayo sioni kama yanaweza kusaidia ukilaza wa JK ?
 
The bottom line, Mkapa hajawahi kuwa balozi UN again case closed na no blah blah blah about it!.

Kama alivyoteleza Kuhani na wewe uliteleza. Hakuna ubalozi wa DC. Blah blah blah . Case closed. Samahani. Najua niliahidi lakini I couldn't help myself.
 
Jamani taratibu,Ishu za mke anaumwa tuweke pembeni,

Ishu ya MKJJ hapa ni speech za mzee.Inavyoonekana ni kama ama hakuna maandalizi mazuri katika kuziandika au msomaji (mzee) hajiandai na kujua kilichomo na jinsi ya kukizungumza.

Mara nyingi rais amekuwa na tatizo hilo hata kwa speech za kiswahili.Nadhani huwa hafanyi maandalizi kabla ya kusoma speech.Kwa kiongozi mkubwa na anayezungumza na watu wa kada za juu lazima unapoandaliwa hotuba uipitie mwanzo hadi mwisho.Wazungu wanasema ujifamiliarize na content.

Kwa kufanya hivyo inamaana kuwa itakuwa rahisi kugundua ukitoka point fulani unaingia wapi.Hilevile inasaidia kupangilia hata tone yako ibadilikaje kutokana na jambo unalolizungumzia, wapi unakutana na nukuu n.k.

Ukiangalia viongozi wengine wanaojiandaa kabla ya hotuba utagundua hawapati shida kwa mfano kuongezea maneno yao machache katika kuweka msisitizo wa jambo lililopo kwenye hotuba au kuelezea jambo lililopo kwenye hotuba bila kulisoma kwa mistari kadhaa.Hii yote inatokana na kujiandaa kikamilifu na siyo kukurupuka kama vile uko kwenye kampeni unaomba kura.

Kwa kiwango kikubwa sikuona tofauti ya hotuba ya kikwete UN na porojo za Makamba kule Tarime wakati anamnadi mgombea wa CCM.Wote hawakuwa na maandalizi in advance.
 
The president normaly has a speech writer! This person is supposed to do his/her work with proficiency!..Checking both substance and other things including flow of thoughts, grammar etc......
If you want to know who this person is... then may be other contributors may help as I dont know the current one!
Unajua Msanii anawaogopa/anawakalia mbali sana wanazuoni,kwani "anajua kuwa wanajua hajui."Mara nyingi huwa JANUARI ndiye MTUNZI wa NGONJERA za Msanii...and surely you can't expect much from such a pair,can you??
 
Hivi hamkuona jinsi alivyokuwa anasonya kwa msikitiko alipokuwa anakosea. NIlikuta natarajia angeamua kugive up and be like "da..n it, I'm out of here; where is January?"...
 
Uzuri wa Mkapa alikuwa anapitia spichi zake na kusahihisha. Unajua alikuwa mhariri wa Nationalist, na pia Kiingereza chake kilikuwa kinapanda kwelikweli.
Mwinyi alikuwa mwalimu (teacher) na pia hakuwa na makuu kama alivyosema FMES. Ukisikiliza spichi zake za Kiswahili utafurahi mwenyewe. Huyu mwenzetu kwanza anahitaji kutulia. Apitie spichi zake au afanye kama Bush anavyofanya: anapractice mbele ya maafisa wake kabla ya kuisoma hadharani. Public speaking is an art.

Au apelekwe Holywood akafundishwe na kina Mel Gibson.
 
Jamani taratibu,Ishu za mke anaumwa tuweke pembeni,

Ishu ya MKJJ hapa ni speech za mzee.Inavyoonekana ni kama ama hakuna maandalizi mazuri katika kuziandika au msomaji (mzee) hajiandai na kujua kilichomo na jinsi ya kukizungumza.

Mara nyingi rais amekuwa na tatizo hilo hata kwa speech za kiswahili.Nadhani huwa hafanyi maandalizi kabla ya kusoma speech.Kwa kiongozi mkubwa na anayezungumza na watu wa kada za juu lazima unapoandaliwa hotuba uipitie mwanzo hadi mwisho.Wazungu wanasema ujifamiliarize na content.

Kwa kufanya hivyo inamaana kuwa itakuwa rahisi kugundua ukitoka point fulani unaingia wapi.Hilevile inasaidia kupangilia hata tone yako ibadilikaje kutokana na jambo unalolizungumzia, wapi unakutana na nukuu n.k.

Ukiangalia viongozi wengine wanaojiandaa kabla ya hotuba utagundua hawapati shida kwa mfano kuongezea maneno yao machache katika kuweka msisitizo wa jambo lililopo kwenye hotuba au kuelezea jambo lililopo kwenye hotuba bila kulisoma kwa mistari kadhaa.Hii yote inatokana na kujiandaa kikamilifu na siyo kukurupuka kama vile uko kwenye kampeni unaomba kura.

Kwa kiwango kikubwa sikuona tofauti ya hotuba ya kikwete UN na porojo za Makamba kule Tarime wakati anamnadi mgombea wa CCM.Wote hawakuwa na maandalizi in advance.

Kujiandaa kunahitaji muda. Anao?
 
Hivi hamkuona jinsi alivyokuwa anasonya kwa msikitiko alipokuwa anakosea. NIlikuta natarajia angeamua kugive up and be like "da..n it, I'm out of here; where is January?"...

Hivi kweli huyu January aka ndio anamwandikia raisi hotuba au ni stori tu za mtaani?

Cheo chake hasa ni kipi?
 
..hivi siku zote si tunasema VIJANA wapewe nafasi kutumikia??

..sasa Raisi kasikiliza kilio chetu tunaanza kumpiga vita kijana wa Makamba. tunadai Raisi arudishe waandishi wa hotuba WAZEE.

..ninavyoelewa mimi Kikwete ni mtu wa porojo-porojo na kujiuma-uma hata wakati alipokuwa akiandikiwa hotuba na WAZEE.
 
JK... hatukusema vijana wapewe nafasi ya kujitumikia!
 
..hivi siku zote si tunasema VIJANA wapewe nafasi kutumikia??

..sasa Raisi kasikiliza kilio chetu tunaanza kumpiga vita kijana wa Makamba. tunadai Raisi arudishe waandishi wa hotuba WAZEE.

..ninavyoelewa mimi Kikwete ni mtu wa porojo-porojo na kujiuma-uma hata wakati alipokuwa akiandikiwa hotuba na WAZEE.

Mimi sijawahi kusema vijana wapowe nafasi kiholela holela tu.....wapewe nafasi vijana wenye uwezo. Kwanza kwangu mimi hapendwi mtu, ninachomaindi ni competence ya mtu. Awe mwanamke, mwanamume, tranny,kijana, mzee,etc.....I really don't care. Competence is what I care for.
 
Back
Top Bottom