Labda JK hana kipaji cha kusoma hotuba. Hii inatokea sana.. Kwa mfano Mkapa alikuwa anatumia nguvu nyingi sana alipokuwa akihutubia, wakati Mwinyi mzee wa ruska alikuwa akiipamba sana hutuba zake na kujaza maneno yenye mvuto.. Huku Nyerere akihutubia kwa kuweka vionjo mbalimbali ndani yake.
Hili linatokea sana, unaweza kuwa mahili wa kutunga na kuandika lakini ukawa sio mahili kusimama na kuhutubia kile ulichoandika. Mfano Mwanakijiji anauwezo wa kuandika makala kibao kwa ustadi wa hali ya juu, lakini anapokuja kutangaza kwenye redio yake siku zote hukwama kwama... haya yote hutokea.
Nyani McCain said:Mimi sijawahi kusema vijana wapowe nafasi kiholela holela tu.....wapewe nafasi vijana wenye uwezo. Kwanza kwangu mimi hapendwi mtu, ninachomaindi ni competence ya mtu. Awe mwanamke, mwanamume, tranny,kijana, mzee,etc.....I really don't care. Competence is what I care for.
Nyani, are you suggesting kwamba Obama si mzungumzaji mzuri bila teleprompter?...
Obama is a careful speaker, he weighs every word before speaking.That is a virtue, to the contrary Plain Palin and Pain McCain are priding in their nonsensical attitude of "not blinking"
Back to Kikwete, Kikwete hawezi kuandika, hawezi kusoma, hawezi hisabati, hajui Kiswahili, hajui Kiingereza, uchumi aliosomea hajui, jeshi alikopitia amepita kisiasa tu.
Kitu pekee anachojua ni ku-kiss ass, na sasa yeye ndiye rais Tanzania hajui hata kuwa rais kwa sababu in the subconscious bado anamtafuta rais ampe maelekezo.
Oh yeah, he does especially when he said people cling to guns and religion and whether life begins at conception or not was above his pay grade.
Tatizo la Wamarekani mtu akiwa careful speaker wanasema yuko scripted and wooden, akiwapa ukweli na kuacha kuwa politically correct anapata backlash.
Obama yuko right on both counts, ile ya kwanza ni kweli, lakini kuna vi-ukweli fulani huwa havisemwi hadharani, not by presidential aprirants, kwa hiyo kama alifanya kosa ni kwamba tu alikuwa too honest.Kuna wajinga wanataka a paint a political picture, kama vile McPain anavyosema sasa "The Fundamentals of The American economy are strong" wakati Wall St is tumbling down, not only is Humpty Dumpty falling down but the Wall he was on is falling down.
Kwenye suala la above his pay grade huyu mtu anaonyesha humility na thoughtfulness ya hali ya juu. Kama wewe huwezi kumtengeneza mtu (and I don't mean by just getting / getting somebody pregnant, I mean like assembling a baby from scratch) you will certainly be very pretentious to pretend to know when does like begin.You can set a standard for all like minded people to agree that this is where life begins, but you cannot say that this is certainly when life begins.
I think it is things like these that makes Senator Obama very appealing, a different brand of politics, a politician who is not embarassed to say that he does not have every answer.As a humble great man of philosophy once said, to know that you don't know is the beginning of real knowledge.
Sadly, the McCain-Palin team does not have this brand of humility, and is too ready to dash off to war and then "pray that God is on our side" (Palin actually said that when sending the troops -including her sacrifical lamb son- from Alaska).They can't be serious, so what are they saying? That they will lobby God to be on their side whether they are right or wrong? I mean they don't even have the fake humility to pray first for guidance that they do the right thing, they want to send troops first and pray later. What a bunch of jokers.
Nimemaliza kuangalia hotuba ya JK Umoja wa Mataifa jana; kuna mengi amezungumza (mtayasoma kwenye magazeti) kitu kimoja ni kuwa inaonekana hakufanya mazoezi kuisoma hiyo hotuba kabla yake maana alikuwa yuko frustrated kila akikosea na kufanya ile "chi" ya kiswahili kama msonyo fulani hivi.
Alikuwa anajaribu kuzungumza kwa haraka lakini nadhani maneno yake yalikuwa yanakimbia zaidi ya maandishi aliyokuwa anasoma. Najaribu kuwawekea hotuna nzima klhn na unaweza kuiona pia kwenye UN website.
Hii si mara ya kwanza delivery yake ya speech inaleta matatizo; ile ya Dodoma alijikuta anaongeza mambo mengi kuliko ilivyokuwa imeandikwa.... what is the problem?
Kama alivyoteleza Kuhani na wewe uliteleza. Hakuna ubalozi wa DC. Blah blah blah . Case closed. Samahani. Najua niliahidi lakini I couldn't help myself.
Tanzania tuna ofisi za ubalozi, DC na UN, Mkapa hakuwahi kuwa balozi UN, lakini aliwahi mkuwa blaozi DC, hii ni fact
Kwenye hili you can jump or cry, lakini huwezi kubadili ukweli, kwamba Mkapa hakuwahi kuwa balozi UN, kama alivyosema bosi wako, a pure nonesense! na it has nothing to do na kuteleza,
kuteleza my foot! Kuteleza na DR. Masau?
I really hate to agree with you but I have to!!!! .
---π π π Nyani you're eff'd in the head man! lolAnyway, sitaki kuteka nyara mjadala huu. Kuna thread ya Obama kama unataka njoo nikuchinje na panga huko (machete murdering..lol)
Huyu jamaa namsikia sikia tu....who the hell is this guy? Ana uzoefu gani katika mambo ya kuandika spichi? Au uzoefu wake kautoa youngafrican kubishana na kina Critic na Bill Powers.....
That's exactly what I'm saying. Wakati yuko kwenye summer camp tour yake kule mashariki ya kati, kuna siku alikutwa na kigugumizi cha ajabu! Na hiyo haikuwa mara ya kwanza. Ni mara kibao tu kwenye campaign trail huwa ana stammer.
Nikupe mfano murua wa mtu anayetoa/ aliyekuwa anatoa hotuba off the top of his head bila kigugumizi....angalia hotuba ya MLK ya mwisho, I've been to the mountain top' au angalia interviews zake kwenye Meet The Press kwenye youtube, he had no teleprompters, but the speeches and the interviews were great.
Hata kile kipande cha "I have a dream" hakikuwa kwenye spichi ilikyokuwa imeandikwa. He veered off and the rest was history.
Au angalia ile spichi ya Bill Clinton aliyoitoa mwaka 93 au 94 kufagilia NAFTA. Hata Bush 41 mwenyewe alizimia na kusema that's why I'm on the outside looking in.....na hakuwa anasoma kwenye prompter...
Na ninyi mnaboa sana na huu mtindo wa kuchukulia huko mliko kama ndio kioo cha kulinganisha ama kuhindanisha mambo yote...
Ina maana hapa kwetu Tanzania hakuna mwanasiasa wa kumtumia kumlinganisha ama kumshindanisha na rais wenu (i mean rais wetu maana wengine utanzania mnaosema hapa sio wa kifikira bali wa damu) hadi mkimbilie hao wanasesere wa kimagharibi......
Tanzanianjema