Kikwete frustrated at the UN?

He is unqualified for that position.

This is very TRUE..He is a big JOKE to our country and the continent at large.
He was never serious and he will never be. Kumsikiliza Jk akitoa speech lazima ujiandae kuficha uso kwa viganja, hasa kama kuna watu wanajua wewe ni mtz, it happened to me before and I was very embarassed.
 
Nimeona Clip Chache za hotuba ya Muungwana hapo UN, katika hizo Clip mambo aliyoyaraise ni ya msingi sana, mathalani kazungumzia umuhimu wa Afrika kuwa na Member katika Baraza la Usalama jambo ambalo ninamuunga mkono,
pamoja na kwamba ninamuunga mkono lakini ninasikitika kwamba argument aliyoitumia kwenye kujenga hoja yake hiyo huenda siyo sahihi, mathalani Muungwana kasema kuwa Afrika ni bara pekee duniani lisilo na permanent Member katika Baraza la Usalama!, fact ni kwamba Australia ni bara na ni nchi pia lakini bara hilo(nchi hiyo) siyo permanent Member katika baraza la usalama, kwa hiyo ninadhani ni muhimu vitu kama hivi Muungwana inabidi avipitiepitie maana vinaweza kuharibu lengo zuri la hoja
 

Gamba la Nyoka,

Hapo JK yuko sahihi mbona hata wao Bush akiwa Tanzania wanasema yuko Afrika. Bush amekesha siku nne hapa TZ, TV za Marekani zilitumia nusu sekunde kuonyesha tukio lakini ziliendelea kutumia muda mwingi kutuonyesha mende wa Iraq, kenge wa Afghanstan na vyura wa Pakistan na kina John Cena na kina Undertaker wa huko kwao, wakati hata hatujui sheria za Mieleka ya kwao. Wacha na wao wajue kuna mabara wanayoishi wazungu Afrika hatuyajui!

Kumbe kuna ya maana aliyoyafanya Kikwete mojawapo ni hili.
 

Gamba, JK ni mweupe sana na pia ni mvivu hata kujisomea kuongeza maarifa, hawezi jua mambo ya Australia...
 

South America nalo ni bara. Mbona hawana permanent member kwenye security council. Sasa inakuwaje anasema Africa pekee!!!! Nafikiri rais wetu uelewa wake ni mdogo tu, TUKUBALI!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
JK ni mweupe sana na pia ni mvivu hata kujisomea kuongeza maarifa, hawezi jua mambo ya Australia...


Now this is what I truly believe............ I am not sure huyu jamaa kama anaweza hata kuandika kijijarida say kuhusu historia yake, leave alone a thesis. Huyu jamaa mimi siku zote huwa nakonkludi kwamba ana ufahamu mdogo!!!! well naweza kueleweka kuwa simuheshimu Rahisi, Lakini tukumbuke kuwa heshima za namna huyu ndiyo zimeifikisha TZ hapa ilipo. The guy is so empty period!!!!!!!!!!! Wakuu let's not behave kama vizuri hatujawahi kuviona au kuvisikia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Maandalizi ya ZIMAMOTO, lazima utashikwa na kigugumizi cha ukubwani.
 
inatosha mkulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…