Kikwete hajapokea maombi ya kuongeza posho

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,508
Reaction score
11,897
Kurugenzi ya ikulu imekanusha kupokea maombi ya kuongeza posho kwa wajumbe wa bunge la katiba mpya,bali maombi yaliyopokelewa ni kubadilisha posho ya kujikimu kuwa ya kikao na ya kikao kuwa ya kujikimu ila Jumla ya posho itakua ile ile 300000 kwa siku.Hapo wana jf naomba ufafanuzi juu ya hili kwani naona kuna kaujanja hapa kametumika.source TBC1 habari
 
kazi kweli kweli....kaujanja ujanja kwa faida ya nani?
 

hiyo ni zaidi ya kuongoza posho maana ya kujikimu au perdiem ilikuwa elfu 80 kwa siku na ya kikao ilikuwa 220000 kwa siku.ya kikao ilikuwa inatolewa tu siku ya kikao while ile ya kujikimu ilikuwa ya siku zote..mwenye kuelewa aelewe ujanja huo..bongo land
 
ata asipoingia kikao anakua kala nyingi duh simchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…