BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,508
- 11,897
Kurugenzi ya ikulu imekanusha kupokea maombi ya kuongeza posho kwa wajumbe wa bunge la katiba mpya,bali maombi yaliyopokelewa ni kubadilisha posho ya kujikimu kuwa ya kikao na ya kikao kuwa ya kujikimu ila Jumla ya posho itakua ile ile 300000 kwa siku.Hapo wana jf naomba ufafanuzi juu ya hili kwani naona kuna kaujanja hapa kametumika.source TBC1 habari