Kikwete Hosts 30 US Investors at the State House

Kikwete Hosts 30 US Investors at the State House

Na waje watatumia nguvu za koroboi kuendeshea vitega uchumi vyao watakavyowekeza
 
Investor mzawa unatakiwa upambane kivyako, hakuna tax holiday, mikopo bank ni kama kuomba damu kwa kiroboto, wanasiasa nao hawakuachi wanataka wakunyonye wakijidai watakupa favor fulani.

Wamachinga sio ndio hao wanafukuzwa. In a sense na hao pia ni investors, maana wanatumia pesa zao kununua bidhaa kuuzia wananchi. Kila la leo wanahimishwa hamishwa, nk! WTF??!@!! yani ccm ni wahuni, wezi, walafi, wajinga....
 
Back
Top Bottom