Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)



captivity of negativity and lack of power from within
 
Niliyoyataja mimi hayana ubishi. Waliompelekea MAMILIONI haya wapo. Mali anazomiliki zipo ambazo nyingi zinatokana na mamilioni haya. Unadhani ni rahisi yeye mwenyewe akalikana hili?

kweli tumeumia,mwenye nacho anaongezewa,mtoa hoja mmoja eti EL ana hela zake,mwambieahame sisiem tuone kama ataendelea kuwa tajiri.
 
FP,
sasa umesomeka waziwazi na kwa maelezo haya chini na hasa kwenye RED, ukiacha haya MAJUNGU ya kusema na wewe umehongwa (Sikufahamu na siwezi kukuhukumu).

Maelezo yako sasa yamekaa kama mchezaji anayecheza FAIR PLAY......

Hahahaa, kama viongozi wote wa Nyerere walikuwa MAFISADI (ukianzia wale walioendela na Mzee Ruhusa na hadi wa leo wa Kikwete), basi kweli Tanzania imeoza kutoka ndani.

Inabidi sasa tukubaliane na Nyambala kuwa hapa kuna Newton's law of motion inatumika. Wataendelea kulindana na kupokezana vijiti kama ma Generals wa Nigeria, hadi ije nguvu kutoka nje ya Mtandao na KUWASIMAMISHA. Nguvu hiyo ni wananchi kwa kudai katiba mpya au kuwaondoa kwa nguvu.

Hatujui nini kitaanza ila binadamu ni kama Nge. Ukimbana sana, mwishoni anapindisha mkia wake na kukudonoa.

Waarabu nge wao alikuwa Machinga aliyejiwasha moto Tunisia. Sisi pia nafahamu nge wetu yupo njiani anakuja.
 
Mchambuzi na wewe?lol

Si usome tu mkuu?

Mengine waachie wahusika.

Unaposema hapa si mahali pake unamaanisha nini?Ama na wewe una imani na corrupt system?
 
YES sir! alikufa kawaida. NI PM nikuongezee kidogo. Ila hakukua na mkono wa mtu alie HAI kwenye kifo cha Mwalimu.

Usiogope hakuna atakaye kutafuta wewe WildCard.
Unajuwa ni kina nani walikuwa nyuma ya kampeni ya urais wa Mkapa kumsaidia mwalimu kuzunguka nchi nzima kumnadi Mkapa baada ya kuwabwaga mtandao?

Kwa taarifa yako ni mtandao ndo uliomwandalia mwalimu ziara zake na kuziratibu, nadhani even what he ate and drink, an maybe were he slept.

Yani hao hao wanamtandao waliokuwa kinyume naye ndo walikuwa responsible kumzungusha kwenye kampeni za kumnadi Mkapa baada ya mwanamtandao wao kupigwa chini kwa juhudi za mwalimu aliyekuwa anaonekana asingekubali hata mmoja wao achukue nchi..

So anything is possible given the fact that mtandao ulikuwepo lakini haukujulikana makali yake kipindi hicho kwasababu JK hakuwa madarakani na mwalimu was still alive!

Unadhani waliokuwa responsible na kumtembeza hawakujua kuwa kwenye mtandao hakuna hata mmoja ambaye mwalimu angekubali awe Rais?

Unadhani hawakuwa na plans za uchaguzi wa 2005?

Think...Kwa mtandao, mwalimu was better dead than alive, so kama ilikuwa bahati nzuri kwao alipokufa, then maybe you're right and that they were coincidentally lucky!
 
Science au fiction? Either way, ni mada nzuri (inafikirisha) na ina vitu vingi "vipya"....asanteni sana Hutaki Unaacha, Mtoa Habari na wengineo kwa habari/michango yenu katika hili.
 

Kamwe hatutakubali tena kutawaliwa na mafisadi wanaotumia pesa nyingi kununua uongozi wa nchi yetu ili kujinufaisha wao na familia zao. Kuna underground movements nyingi zinaendelea hivi sasa kukomesha USHENZI huu wa kundi la watu wachache kujitwalia madaraka
ya nchi yetu huku dhamira yao kuu ikiwa ni kujilimbikizia mali na kudidimiza uhai wa walio wengi. Tutapigania nchi yetu kwa gharama yoyote kwa maslahi ya vizazi vijavyo.
 
Duuh! si mchezo.....kweli siasa za Tanzania ni zaidi ya uzijuavyo.
Yaani nimesoma baadhi ya coment za mjadala huu na nimebaki mdomo wazi!
Kweli tunakazi na safari kubwa sana ya kumtokomeza mkoloni mweusi! mmh!
 

mkuu kuusu othman na apson si kweli kua wapo kundi moja,hawa jamaa wana beef mbaya la chini kwa chini kwa sababu othman sio msikivu kwa apson ambaye ndio aliemfanya yeye awepo hapo.othman yupo kundi moja na jk HIYO NI UHAKIKA,
 
Hizi habari ninazozisoma humu zinatisha kwa kweli..
 
Hutaki Unaacha mbona hizi habari ni nzito sana. Kama habari hizi ni zakweli basi naungana na wanaosema nchi imekuwa ikiendeshwa kimafya lkn sasa napenda niwahakikishie watz kuwa huu ni mwisho wa utawala dhalimu. Naapa kwa jina la mwenyezi Mungu.
 
kuna dizaini nyingi sana za kumpigia kampeni fisadi Lowassa.

Ng'wanangwa,

These guys are technical and strategic.
Its unfortunate that this's a room for greatthinkers,

We all know its a game, stupid game and dangerous for them
Infact neither EL,RA,Jkey is ever clean, they are all useless.

I am optimistic that CCeM is now taking direction to hell
Non of the mentioned can withstand these fact vomits insteady of ensuring some one is seized.

They are playing the same dangerous game which left Masha and Diallo hopeless in 2010
Without realising that CDM was strongly moving forward after a dirty game done by Mash on Wenj's Nationality

They will them all killed and hanged in the same sling.
Spencer Said
 

Mkuu, tatizo letu ni nani wa kumfunga paka kengele! Nani anajitolea Muhanga kuongoza mapambano haya? Je ni Wa-TZ wangapi wanayo dhamira ya kweli (kama unavyoonesha wewe) ya kuikomboa inji hii? TAFAKARI, CHUKUA HATUA!
 
Dada Jane naomba uachane na hizo wishfull thinking,watu ambao wanategemewa kuwa mstari wa mbele tiss,polisi na jeshi wote wamewekwa mifukoni unadhani nani ataleta huo mwisho wa huu udhalimu unaoendelea?UMMA watanzania sisi ni waoga na hatuna hizo guts za kuleta mabadiliko,just look around you for instance ni watu wangapi wanaendelea na maisha yao as if there are no problems in this country?we are just doomed,there is nothing can be done to those guys.
Hutaki Unaacha mbona hizi habari ni nzito sana. Kama habari hizi ni zakweli basi naungana na wanaosema nchi imekuwa ikiendeshwa kimafya lkn sasa napenda niwahakikishie watz kuwa huu ni mwisho wa utawala dhalimu. Naapa kwa jina la mwenyezi Mungu.
 
Hutaki Unaacha mbona hizi habari ni nzito sana. Kama habari hizi ni zakweli basi naungana na wanaosema nchi imekuwa ikiendeshwa kimafya lkn sasa napenda niwahakikishie watz kuwa huu ni mwisho wa utawala dhalimu. Naapa kwa jina la mwenyezi Mungu.
Dada Jane, and this is just a tip of an iceberg...
 
Kaka Bushloiaz samahani kama nitakuwa nimekosea jina lako. Ninachopenda nikuhakishie kuwa hakuna jambo lisilokuwa na mwisho. Nikukumbushe tu kidogo ulitaji mwisho wa utawala Gadaf ungekuwa vile? Hitrer, Idd amin etc etc. Woga wa watz usikupe hofu iko siku mawe yatawakomboa watz. Take note hii tarehe.
 
Tatizo kubwa kwe wenzetu mliowengi ni kwamba nyinyi ni MA-THOMASO; hamuamini hata siku moja hizi dondoo tunazozishusha hapa JF mpaka pale muwe mmeona kwa macho au kugusishwa kabisa kwa mikono.

Na hiyo ndio maana dozi ya taarifa nyeti hudondoshwa kwa mtindo wa dondoo ili nao wenye presha wasome, wachukue hatua lakini bila kupoteza uhai.

Siasa zetu hivi karibuni ni zaidi ya mchezo ule wa watu makini sana duniani yaani CHASEBOARD. Tafakari juu ya tafakari ni muhimu sana maana hakuna njia zozote za mkato zitakazokua salama na zenye kheri kwa vyovyote vile.

Dada Jane, and this is just a tip of an iceberg...
 
mm napita kwani wakati wa Utawala wa JK bado na hatagombea kule kwenye CCM wao wanajua makapi na mbegu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…