Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

DSN,

I think you misunderstood me. Maelezo yangu yalikuwa yanajibu hoja ya Gogomoka. Naomba ukipata muda urejee hoja ile, then link it na majibu yangu. Vinginevyo sijakataa kwamba mada hii sio muhimu, nachohimiza tu kwa vijana wenzangu ni kwamba, kwa taarifa kama hizi, busara iliyokuwa basic kabisa ni to take good notes out of it, with a focus ya kujenga taifa la vijana, ambalo litarekebisha mapungufu kama haya. Kwani ni kawaida sana humu JF mijadala mingi kutawaliwa na "he says, she says", halafu inakufa.


captivity of negativity and lack of power from within
 
Niliyoyataja mimi hayana ubishi. Waliompelekea MAMILIONI haya wapo. Mali anazomiliki zipo ambazo nyingi zinatokana na mamilioni haya. Unadhani ni rahisi yeye mwenyewe akalikana hili?

kweli tumeumia,mwenye nacho anaongezewa,mtoa hoja mmoja eti EL ana hela zake,mwambieahame sisiem tuone kama ataendelea kuwa tajiri.
 
FP,
sasa umesomeka waziwazi na kwa maelezo haya chini na hasa kwenye RED, ukiacha haya MAJUNGU ya kusema na wewe umehongwa (Sikufahamu na siwezi kukuhukumu).

Maelezo yako sasa yamekaa kama mchezaji anayecheza FAIR PLAY......

Hahahaa, kama viongozi wote wa Nyerere walikuwa MAFISADI (ukianzia wale walioendela na Mzee Ruhusa na hadi wa leo wa Kikwete), basi kweli Tanzania imeoza kutoka ndani.

Inabidi sasa tukubaliane na Nyambala kuwa hapa kuna Newton's law of motion inatumika. Wataendelea kulindana na kupokezana vijiti kama ma Generals wa Nigeria, hadi ije nguvu kutoka nje ya Mtandao na KUWASIMAMISHA. Nguvu hiyo ni wananchi kwa kudai katiba mpya au kuwaondoa kwa nguvu.

Hatujui nini kitaanza ila binadamu ni kama Nge. Ukimbana sana, mwishoni anapindisha mkia wake na kukudonoa.

Waarabu nge wao alikuwa Machinga aliyejiwasha moto Tunisia. Sisi pia nafahamu nge wetu yupo njiani anakuja.
Sikonge,

Hujaelewa kidogo. Wanasiasa wote waliokuwepo enzi za Nyerere na wakaendelea na uongozi baada ya Mwalimu kufariki (RIP JKN) ni MAFISADI!.

Wewe nyumba za Obey au Masaki au Mikocheni hata Ada estate wanapata wapi hela na mishahara viduch vya serikali?.

Hiyo ni hoja very simpo kufikia muafaka. Mie ninachosema ni kuwa WHY Lowassa pekee? Mbona wapo hata POMBE aliyemuuzia nyumba Ubungo ndugu yake (nyumba ya serikali)?

Hapo ndo nasimama na ku conclude kuwa madai dhidi ya Lowassa yapo exaggerated. Why?, kwa sababu hata mie nimeambiwa nimehongwa au natumiwa na Lowassa! Sasa atakutumiaje au kukuhongaje mtu ambaye hamjawahi kuonana naye au hata kuonana na wapambe wake, na wala hutaki kuwaona wala kuwajua?

Nahisi utakua umenipata angalau kidogo.
 
Gogomoka,

I understand your point, lakini​ukweli bado unasimama kwamba Mtoa Habari is playing a very dangerous game, these are gruesome accusations, ambazo for sure leaves many of our jaws dropped; If he has evidence (it looks like ni mtu wa ndani), Jamiiforums sio mahala pake, kwani there are institutions that are specially designed to handle such.

Vinginevyo ni muhimu sana sisi kama Vijana tuka focus katika mijadala yenye ukweli na uhakika, and whenever taarifa kama hizi zikiwa zina pop up every now and then, busara ya kawaida kabisa, in my humble opinion, ni kuchukua tu notes.

Otherwise, personally, my unshakable belief is that, kutumia muda mwingi katika mijadala dominated na taarifa zisizo na ukweli au uhakika, doesn't provide us with a better future kama vijana. Discussions zenye traffic kubwa namna hii, laiti zingekuwa zinalenga kwenye mada on youth development e.g. employment generation, elimu, leadership, our new constitution, etc,

sio tu kwamba ingetujengea msingi imara for a better future, but also even our sons, daughters, grandsons and granddaughters, wangefaidika sana kwa kurudia and review our archives in JF, and in the process determine challenges za waliowatangulia zilikuwa ni zipi, hence put them in a better position kuzikabili changamoto zao.
Mchambuzi na wewe?lol

Si usome tu mkuu?

Mengine waachie wahusika.

Unaposema hapa si mahali pake unamaanisha nini?Ama na wewe una imani na corrupt system?
 
YES sir! alikufa kawaida. NI PM nikuongezee kidogo. Ila hakukua na mkono wa mtu alie HAI kwenye kifo cha Mwalimu.

Usiogope hakuna atakaye kutafuta wewe WildCard.
Unajuwa ni kina nani walikuwa nyuma ya kampeni ya urais wa Mkapa kumsaidia mwalimu kuzunguka nchi nzima kumnadi Mkapa baada ya kuwabwaga mtandao?

Kwa taarifa yako ni mtandao ndo uliomwandalia mwalimu ziara zake na kuziratibu, nadhani even what he ate and drink, an maybe were he slept.

Yani hao hao wanamtandao waliokuwa kinyume naye ndo walikuwa responsible kumzungusha kwenye kampeni za kumnadi Mkapa baada ya mwanamtandao wao kupigwa chini kwa juhudi za mwalimu aliyekuwa anaonekana asingekubali hata mmoja wao achukue nchi..

So anything is possible given the fact that mtandao ulikuwepo lakini haukujulikana makali yake kipindi hicho kwasababu JK hakuwa madarakani na mwalimu was still alive!

Unadhani waliokuwa responsible na kumtembeza hawakujua kuwa kwenye mtandao hakuna hata mmoja ambaye mwalimu angekubali awe Rais?

Unadhani hawakuwa na plans za uchaguzi wa 2005?

Think...Kwa mtandao, mwalimu was better dead than alive, so kama ilikuwa bahati nzuri kwao alipokufa, then maybe you're right and that they were coincidentally lucky!
 
Science au fiction? Either way, ni mada nzuri (inafikirisha) na ina vitu vingi "vipya"....asanteni sana Hutaki Unaacha, Mtoa Habari na wengineo kwa habari/michango yenu katika hili.
 
Institutions zipi ambazo mikono mirefu ya akina Lowasa, RA na kundi lao haijazifikia na kuzipanga upya? Tuna kazi sio ndogo WATANZANIA kuitoa nchi yetu kwenye makucha ya hawa jamaa. Kundi kuuubwa kabisa la WATANZANIA wenye fedha wamejipanga kwa nguvu zaidi kifedha, kimkakati na kiushawishi kuliko mwaka 2005 kuichukua tena nchi yetu.
Mbaya zaidi ni kuwa maovu yao mengi yameanikwa hadharani na hatma yao inategemea nani atakuwa Rais 2015. Tuna kazi si kidogo safari hii kuliko wakati mwingine wowote.

Kamwe hatutakubali tena kutawaliwa na mafisadi wanaotumia pesa nyingi kununua uongozi wa nchi yetu ili kujinufaisha wao na familia zao. Kuna underground movements nyingi zinaendelea hivi sasa kukomesha USHENZI huu wa kundi la watu wachache kujitwalia madaraka
ya nchi yetu huku dhamira yao kuu ikiwa ni kujilimbikizia mali na kudidimiza uhai wa walio wengi. Tutapigania nchi yetu kwa gharama yoyote kwa maslahi ya vizazi vijavyo.
 
Duuh! si mchezo.....kweli siasa za Tanzania ni zaidi ya uzijuavyo.
Yaani nimesoma baadhi ya coment za mjadala huu na nimebaki mdomo wazi!
Kweli tunakazi na safari kubwa sana ya kumtokomeza mkoloni mweusi! mmh!
 
hakuna siri ndani ya tiss, kwamba ro aliwekwa na enl na ra, chini ya usimamizi wa abson. Chaguo lingine la mtu wa kumrithi abson, mbali ya ro, lilikuwa ni pamoja na watu kama job masima, ambae kwa sasa ni katibu mkuu wizara ya ulinzi. Kilichomnyima masima nafasi hiyo ni pamoja na ubinamu wake na mzee malecela. Vinginevyo, masima bado ni mtu wa karibu sana kina abson, enl, ra.
Licha ya kustaafu mwaka 2008, abson bado ana nguvu kubwa sana ndani ya tiss. Lakini vilevile, hassy kitine pia bado ana wafuasi wengi sana tiss. Suala hili lina historia ndefu kidogo. Kuna mtu anaitwa mwambulukutu - huyu alikuwa balozi wa tanzania afrika kusini kipindi fulani. Miaka ya awali ya 1970s, mwambulukutu aliwahi kuwa mkurugenzi wa personal and administration, tiss, chini ya hassy kitine, ambae alikuwa mkurugenzi mkuu. Mwambulukutu na kitine walipewa jukumu na nyerere kuifumua idara ya usalama na kuindua upya na kuzaa tiss miaka ya mwanzo ya 70. Hatua hiyo ilitokana na nyerere kugundua kwamba mfumo uliorithiwa baada ya ukoloni ungemletea shida baadae. Ni mwambulukutu ndiye alim discover bernard membe na kumwajiri tiss na kum groom, pamoja na vijana wengine kadhaa. Na membe huwa yupo muwazi sana juu ya suala hili. Pia katika miaka ya 70 kulitokea tatizo la kiutendaji kwa upande wa abson, hivyo kupelekea kitine kumfukuza kazi mara moja, abson, lakini mwambulukutu ndiye aliemwokoa kwa kumuombea msamaha abson kwa kitine. Msamaha huo ndio uliomwokoa abson mpaka kustaafu kwake 2008.

Miaka ya 2006-2007, kulikuwa na tetesi kwamba mwambulukutu alikuwa anarudi tanzania kuja chukua nafasi ya ro pale tiss, kwani ro hakubaliki na upande wa jk. Na kwa muda mrefu sana, ro na mwambulukutu hawakuwa wanaiva, kwani mara kadhaa wamekuwa na migongano. Mwambulukutu ana mwanae mmoja ambae alikuwa tiss tangia kipindi cha mkapa, lakini inasemekana kwamba tofauti zake na ro kikazi, zikapelekea ro kumsimamisha kazi kijana huyo. Vile vile kuna tetesi zilizopo kwenye corridor za tiss ni kwamba ajali iliyomkumba mwambulukutu mwaka 2007 nchini afrika ya kusini, lilikuwa ni jaribio la makusudi la kuchukua maisha yake. Tetesi ni kwamba majambazi yalikodiwa kutoka msumbiji, zimbabwe na afrika ya kusini, na enl, ro, ra, na maafisa wa tiss ubalozini afrika kusini walikuwa wana ufahamu mpango wote, hatua kwa hatua. Na hata uvamizi huo ulipotokea, uchunguzi wa kipolisi ukafutwa haraka sana kwa maombi kutoka dar-es-salaam. Na hata rais mbeki kwenda kumpa pole mwambulukutu hospitali, ilikuja baada ya mbeki kuomba ruksa rasmi ikulu dar-es-salaam, kitu ambacho kikwete alikiruhusu mara moja. Inasemekana pia kwamba abson alitumwa rasmi na serikali kwenda afrika ya kusini kuweka mambo sawa.

Zipo juhudi za chini kwa chini za kumwondoa ro tiss lakini zinagonga mwamba kutokana na mkono wa kina ra na el. Ro amekuwa ni kero kwa jk, kwani uaminifu wake upo zaidi kwa enl, ro, january, abson na wengineo katika kundi hilo. Enl, ra pia ndio waliomweka mwamnyange na said mwema kwenye nafasi zao za sasa. Safari ya enl 2015 ina mizizi mirefu, na haitakuwa rahisi kumzuia katika nafasi hiyo. Tiss imegawanyika katika makundi matatu – kundi la waadilifu (watu wa nyerere kama kina kitine n.k), kundi linalowaunga mkono ra, enl, abson, january, na kundi dogo linalomuunga mkono kikwete. Kinachompa nguvu enl pia ni kuungwa kwake mkono na balozi na taasisi nyingi za kimataifa zilizopo tanzania. Kwa wote hawa, chaguo lao kwa 2015 ni enl, kutokana na uchapa kazi wake, pamoja na mtindo wake wa uongozi ambao wanasema unaendana sana na matakwa ya wawekezaji.

mkuu kuusu othman na apson si kweli kua wapo kundi moja,hawa jamaa wana beef mbaya la chini kwa chini kwa sababu othman sio msikivu kwa apson ambaye ndio aliemfanya yeye awepo hapo.othman yupo kundi moja na jk HIYO NI UHAKIKA,
 
Hizi habari ninazozisoma humu zinatisha kwa kweli..
 
Hutaki Unaacha mbona hizi habari ni nzito sana. Kama habari hizi ni zakweli basi naungana na wanaosema nchi imekuwa ikiendeshwa kimafya lkn sasa napenda niwahakikishie watz kuwa huu ni mwisho wa utawala dhalimu. Naapa kwa jina la mwenyezi Mungu.
 
kuna dizaini nyingi sana za kumpigia kampeni fisadi Lowassa.

Ng'wanangwa,

These guys are technical and strategic.
Its unfortunate that this's a room for greatthinkers,

We all know its a game, stupid game and dangerous for them
Infact neither EL,RA,Jkey is ever clean, they are all useless.

I am optimistic that CCeM is now taking direction to hell
Non of the mentioned can withstand these fact vomits insteady of ensuring some one is seized.

They are playing the same dangerous game which left Masha and Diallo hopeless in 2010
Without realising that CDM was strongly moving forward after a dirty game done by Mash on Wenj's Nationality

They will them all killed and hanged in the same sling.
Spencer Said
 
Kamwe hatutakubali tena kutawaliwa na mafisadi wanaotumia pesa nyingi kununua uongozi wa nchi yetu ili kujinufaisha wao na familia zao. Kuna underground movements nyingi zinaendelea hivi sasa kukomesha USHENZI huu wa kundi la watu wachache kujitwalia madaraka
ya nchi yetu huku dhamira yao kuu ikiwa ni kujilimbikizia mali na kudidimiza uhai wa walio wengi. Tutapigania nchi yetu kwa gharama yoyote kwa maslahi ya vizazi vijavyo.

Mkuu, tatizo letu ni nani wa kumfunga paka kengele! Nani anajitolea Muhanga kuongoza mapambano haya? Je ni Wa-TZ wangapi wanayo dhamira ya kweli (kama unavyoonesha wewe) ya kuikomboa inji hii? TAFAKARI, CHUKUA HATUA!
 
Dada Jane naomba uachane na hizo wishfull thinking,watu ambao wanategemewa kuwa mstari wa mbele tiss,polisi na jeshi wote wamewekwa mifukoni unadhani nani ataleta huo mwisho wa huu udhalimu unaoendelea?UMMA watanzania sisi ni waoga na hatuna hizo guts za kuleta mabadiliko,just look around you for instance ni watu wangapi wanaendelea na maisha yao as if there are no problems in this country?we are just doomed,there is nothing can be done to those guys.
Hutaki Unaacha mbona hizi habari ni nzito sana. Kama habari hizi ni zakweli basi naungana na wanaosema nchi imekuwa ikiendeshwa kimafya lkn sasa napenda niwahakikishie watz kuwa huu ni mwisho wa utawala dhalimu. Naapa kwa jina la mwenyezi Mungu.
 
Hutaki Unaacha mbona hizi habari ni nzito sana. Kama habari hizi ni zakweli basi naungana na wanaosema nchi imekuwa ikiendeshwa kimafya lkn sasa napenda niwahakikishie watz kuwa huu ni mwisho wa utawala dhalimu. Naapa kwa jina la mwenyezi Mungu.
Dada Jane, and this is just a tip of an iceberg...
 
Kaka Bushloiaz samahani kama nitakuwa nimekosea jina lako. Ninachopenda nikuhakishie kuwa hakuna jambo lisilokuwa na mwisho. Nikukumbushe tu kidogo ulitaji mwisho wa utawala Gadaf ungekuwa vile? Hitrer, Idd amin etc etc. Woga wa watz usikupe hofu iko siku mawe yatawakomboa watz. Take note hii tarehe.
 
Tatizo kubwa kwe wenzetu mliowengi ni kwamba nyinyi ni MA-THOMASO; hamuamini hata siku moja hizi dondoo tunazozishusha hapa JF mpaka pale muwe mmeona kwa macho au kugusishwa kabisa kwa mikono.

Na hiyo ndio maana dozi ya taarifa nyeti hudondoshwa kwa mtindo wa dondoo ili nao wenye presha wasome, wachukue hatua lakini bila kupoteza uhai.

Siasa zetu hivi karibuni ni zaidi ya mchezo ule wa watu makini sana duniani yaani CHASEBOARD. Tafakari juu ya tafakari ni muhimu sana maana hakuna njia zozote za mkato zitakazokua salama na zenye kheri kwa vyovyote vile.

Dada Jane, and this is just a tip of an iceberg...
 
mm napita kwani wakati wa Utawala wa JK bado na hatagombea kule kwenye CCM wao wanajua makapi na mbegu
 
Back
Top Bottom