Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

UPUPU wa kutaka kumchafua Lowassa na Rostam.

Hata mkifanyaje tunawajua wala hatushikiki. Good story telling though.

FairPlayer unashangaza. Kwa historia yangu ndani ya JF nakumbuka siku nyingi ulijitahidi kuonyesha kwamba una mawazo safi, lakini ghafla umegeuka kuwa "useless"

Nimeitafuta sababu ya watu wa aina yako na jinsi kila wakati unavyoteteta jina la Lowasa, Sioni jibu isipokuwa tu hisia yangu ni kwamba umepewa kitu na akina Lowasa na sasa una hamu kuliko Canaan Banana.
 
FairPlayer unashangaza. Kwa historia yangu ndani ya JF nakumbuka siku nyingi ulijitahidi kuonyesha kwamba una mawazo safi, lakini ghafla umegeuka kuwa "useless"
Umesahau mkuu,

FP amekuwa akimtetea EL tangu 2007. Check your records. Ni vema kama ndo msimamo wake, lakini kama unaweza kumshawishi basi weka jitihada awe upande unaotaka aelekee. Kutofautiana kimawazo hakuwezi kumfanya mtu kuwa "USELESS".

Correct me if am wrong!
 
Mimi ninachosubiria hapa Part Two ya story, sijui inatoka lini. nimeshanunua big screen nasubiria movie sasa tena hii ni ya 3D kama huna mawani nenda kanunue ya kwako. Mtoa hii mada inaelekea anaujua vizuri huu mtandao
 
:majani7:

Sasa Tunaelekea patamu, CCM inaelekea kufa kibudu kwa mtindo huu.
 
UPUPU wa kutaka kumchafua Lowassa na Rostam.

Hata mkifanyaje tunawajua wala hatushikiki. Good story telling though.

Fairlplayer... Tanzania ya sasa sasa hata haieleweki, we dont even know what is going on... its like tupo nyikani na kila mtu anawinda mwenzake

a few days ago, tumeambia mtoto wa mkubwa mmoja kakunjana na afisa usalama kuhusu kutaka kukuwawa kwa baba yake, leo tunaambiwa mipango ya kuua vigogo fulani (including huyo kigogo) inafeli... somewhere down the mamory lane tunaambiwa umafia wa enzi za mwinyi upo, sijui tukigeuka huku tunaambiwa kuna magamba na makombo

hatujakaa sawa tunaambiwa na mwanasiasa mmoja vuvuzela mwenye ahadi za uongo kwamba akirudi hai atasema yote, Mungu akampa nafasi akarudi hai sasa anasema yote anamwachia Mungu 9as if Mungu ni mshkaji wake anambadilishia tu scope of work)

sasa tena humu povu linatoka baada ya hii... i am not an artist, i am just a fellow citizen trying to learn tujiweke vipi kuanzia 2016 mimi na familia yangu... and i think wewe kama mdau uliyekwisha sema kwamba "tunawajua wala hatutishiki, (wewe ni insider)... TUTEGEMEE NINI??

MAUAJI?
MAPINDUZI?
MAJUNGU?
PESA KUNUNUA WATU?
AMANI YA KWELI?
VURUGU?

AU NINI HASA

I am dead serious
 
juzi juzi tu mtoto anayetegemewa kuwa rais wa hili taifa amelalamika kuwa kuna mbinu za kumuua mzazi wake, hivi huyo mzazi angekuwa na nguvu zote hizi malalamiko yangetoka wapi. lowassa hawezi kuwa rais wa JMT bila msaada wa kikwete, halafu 2015 ni mbali mno, kuna mengi tu yanaweza tokea, kila mtu anatumai kufika huko, mwenye uhakika wa kufika huko hakuna.
 
Kwa jinsi hii nchi ilivyo hii habari yaweza kuwa kweli.Mkuu tunasubiri hiyo part 2.
 
Hawa watu wa ajabu sana kila siku kujipanga kugombea madaraka kitu maendeleo kwa wananchi hakitamkwi tumechoka na thread hizi za watu wa mitandao na wenye uroho wa madaraka wakati umaskini unashambilia nchi na wanachi utafikiri kirus cha kompyuta au hiv

Naona wanasiasa wameshindwa kuiendeleza nchi yetu sasa ilopo tulikabidhi jeshi nchi, tupelekane kidikteta ili Tz isimame mahali pake
 
Tupatie source hata kama ulichunguza mwenyewe utuambie
 
Kusimamishwa kugombea CCM sio hoja ila hoja ni kuchaguliwa kuwa Raisi,na CCM haiwezi kutoa Raisi tena 2015.

Tumejiuliza ni kwa nini waraka wa Mwigimba kwa askari umeitisha serikali? Ni kwa vile wanajua 2015 ushinde wao lazima utumie dola na sasa askari wameanza kuchoka kutumiwa na waraka kama ule ni petrol ya kulipua ufahamu wao hivyo kwa uwazi kabisa sasa watasema NO na hiyo mitandao itausikia Uraisi redioni.

Kasi ya mageuzi ni spidi 140 na CCM imeshindwa kuleta maisha bora watu wamekata tamaa sio mjini au vijijini. Kwa hayo hakuna mtandao wala CCM kuukwaa Uraisi
 
kama ni movie basi hata 24/prison break/the traveller/nikita haitii magulu hapo. big up, its a nice adventure.
 
Hutaki Unaacha,

Kwanza asante kwa hii. Wanabodi hii mada si ya kupuuzwa hata kidogo bali ni uthibitisho tuu 2015 ni CCM ni Edward Lowassa na mgombea Mwenza Amani Karume, Rais wa Zanzibar ni Maalim Seif, Makamo wa kwanza ni Ismail Jussa!. Waziri Mkuu wa rais Lowassa bado sijamjua ila King Maker!, nimemvulia kofia!.

Waraka huu ni uthibitisho wa sisi tunaompigia debe Lowassa tuko right.

It's very very unfortunate rais Jakaya Kikwete kwa Mtandao wa Lowassa, yeye si lolote sii chochote!. Yaani hawezi kufanya lolote it's too late now!.

Waache wao CCM wamwage mboga kwa kumteua EL sisi waTZ tunamwaga ugali na kuvunja sufuria kabisa, tunawaweka makamanda CHADEMA ikulu, halafu CCM inakufia mbali

Kamwe hatutaendelea kukubali ukondoo wa kuchezewa kama watoto;watz tumechoka na karibuni tutachukua hatua!
 
Hutaki Unaacha,

Kwanza asante kwa hii. Wanabodi hii mada si ya kupuuzwa hata kidogo bali ni uthibitisho tuu 2015 ni CCM ni Edward Lowassa na mgombea Mwenza Amani Karume, Rais wa Zanzibar ni Maalim Seif, Makamo wa kwanza ni Ismail Jussa!. Waziri Mkuu wa rais Lowassa bado sijamjua ila King Maker!, nimemvulia kofia!.

Waraka huu ni uthibitisho wa sisi tunaompigia debe Lowassa tuko right.

Uko sahihi sana Pasco katika unachokiamini. Tusubiri tuone, mengi ya "kweli" yatajitokeza.
 
Back
Top Bottom