KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
Nimekuelewa kwenye red vizuri sana ungeishia hapo ningejua kweli mdau uliteleza,lakini ulipozidisha manjonjo kwenda kwenye Blue ukawa umetia sukari na chumvi pamoja basi du chakula kizima hakina maana tena basi kama ni mlo hauliki tena.
Ndio maana nikwambia bado unasafari sana ndefu,kwa kuwa wewe unaamini katika kuona,kumbe hauko katika list ya magreat thinker kwa kuwa wewe bado ni tomaso,mpaka ushike ndio uamini watu wa aina yako tunawaita MATERIAL PEOPLE.Wanaamini katika vitu kuliko imani ya usahihi wa mambo,kitu ambacho binadamu yoyote yule tunaemwita FISADI hapa Tanzania ni lazima awe na aina ya roho ambayo imesimama kwenye Material base na kamwe hawana spirtual guide kuamua na kutenda mambo.
Ingekuwa zama za Yesu wewe ni Tomaso,lakini zama zako wewe kwa sasa uko kwenye rank ya aiba ya mafisadi ambao wanaamni katika kukusanya vinavyoonekana ili kupata utukufu,kumbe utukufu utafutwa kwa imani ya nafsi,kuwa nafsi yako ikiwa na furaha moyoni pasipo makovu ya chuki, visasi, hila,giriba, uzandiki, wivu, vijicho, uongo, unafiki, ulafi, ulevi kupindukia,ushirikina, ufisadi na mengineyo mengi basi mwisho wake ni kifo cha aibu.
Nyerere kaondoka dunianai akiwa spirtual well-off leo hii Watanzania tunamkumbuka,lakini waliokuwa mabingwa wa materila [kuona na kushika] kama wakina Mobutu,Ghadafi na Mubarak aliyehukumiwa kuonyongwa jana wote leo hii ndio uzao wa matokeo wapendao kuona materaial pasipo kuamini.
Kama nawe bado ni mfuasi wa kuona basi ukiona vyaelea jua vimeundwa.Je waundaji ni nani?Utajibu swali hilo kama unajua unafiti wapi katika aina hizi tatu za watu.
1: Wale ambao wanafanya mambo yatokee [Those who make Things Happen]
2: Wale wasiojua yaliyotekea [Those who Dont Know what Happen]
3: Wale wanaoshanga yale yaliyotokea [Those who wonder what happen]
Je wewe Mr Romantic uko wapi?
Mkuu mtoa habari, japo mimi sio msemaji wa Mzee Mwanakijiji, lakini ufahamu wangu kupitia maandiko yake, ukimya wa Mwanakijiji kwenye mada hii, sio kupoteza credibility, kununuliwa au kukata tamaa, bali baada ya kuelewa the motives behind usafishaji wa Lowassa unaofanyika humu na mimi nikiwa ni mmoja wa waumini wakuu wa usafi wa Lowassa na mmoja wa wapiga debe wake wa kujitolea, Mzee Mwanakijiji ametuelewa na kujinyamazia asiendelee kumbomoa, ili kazi yetu ya kumsafisha ifanikiwe na lengo la usafishaji huo litimie!.
Hata wewe Mkuu Mwanahabari, nakuaminia kama ni mtu unayetaka mabadiliko ya kweli, na unazijua fika polical dynamics za siasa za Tanzania, kama ni kweli unataka mabadiliko, utakuwa upande wetu, tumpigie debe, Lowassa asimamishwe kuwa mgombea wa CCM!.
usiaminishwe kila kitu mkuu,changanya na za kwako..DR Slaa ni jembe usisubili kuaminishwa na mtu.
Mkuu wangu nakuomba sana wewe na wenzako endeleeni kutetea kama navyowafahamu watu wengi wa Chadema na baadhi ya wasomi ambao wanafanya makosa makubwa kwa sababu wameshindwa kufuata kanuni za Mkandara...Unakumbuka huwa nasema kitu gani kila mara?..Edson, asante kwa nia ya kunitafuta, wanajf huwa tunakutania hapa ukumbini na kama kuna issue nyeti tunaonana kwenye pm, hivyi ukifika wala usijisumbue.
Utetezi wangu kwa Lowassa ni uzalendo tuu kwa nchi yangu wala sio njaa au pesa. Ningeamua kusaka pesa, ningewatumikia wenye pesa za kutakata tena sio hizi za madafu!. Mimi ni masikini jeuri kama "kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda".
Kumbe jamaa anahitaji kusafishwa kwanza then kama atatakata ndio awe rais wetu sio...!
Romantic, ngoja na mimi niingilie kidogo hii mada maanake naona wakati Pasco anaongelea Lowassa kusimamishwa kuwa mgombea wa CCM, wewe unaongelea jamaa kuwa Raisi wetu 2015 ! Hakuna hata sehemu moja Pasco anaunga mkono Lowassa kuwa Raisi bali anaunga mkono Lowassa kuwa mgomea Uraisi kwa tiketi ya CCM - what's so hard to understand ?
Wengine wetu tunachosisitiza ni kuwa ili mabadiliko ya kweli yatokee hakuna kama Lowassa ndani ya CCM kuteuliwa kugombea Uraisi mwaka 2015 - siri ni kugombea ! Hilo la kuwa Raisi ni kitu tofauti kabisaaa na hapa ndipo wengi tumeshindwa kuona kwamba ili mabadiliko ya kweli yafanikiwe, ndani ya CCM hakuna mtu muhimu kama Lowassa - what's so hard to see ?
Tumekwenda dukani, tukanunua kitoweo, tukatayarisha chakula na sasa tumeweka mezani , kwa nini mnatutegemea kuwatafunia na kuwamezea ? Jamani hii ni JF na wachangiaji wanategemewa angalau wawe na uelewa usio chini ya ule wa wastani hivyo Romantic, mbona hueleweki ? Labda hilo umbo la Lowassa linawatisha hata msione - but what's so hard to comprehend ?
Romantic, ngoja na mimi niingilie kidogo hii mada maanake naona wakati Pasco anaongelea Lowassa kusimamishwa kuwa mgombea wa CCM, wewe unaongelea jamaa kuwa Raisi wetu 2015 ! Hakuna hata sehemu moja Pasco anaunga mkono Lowassa kuwa Raisi bali anaunga mkono Lowassa kuwa mgomea Uraisi kwa tiketi ya CCM - what's so hard to understand ?
Wengine wetu tunachosisitiza ni kuwa ili mabadiliko ya kweli yatokee hakuna kama Lowassa ndani ya CCM kuteuliwa kugombea Uraisi mwaka 2015 - siri ni kugombea ! Hilo la kuwa Raisi ni kitu tofauti kabisaaa na hapa ndipo wengi tumeshindwa kuona kwamba ili mabadiliko ya kweli yafanikiwe, ndani ya CCM hakuna mtu muhimu kama Lowassa - what's so hard to see ?
Tumekwenda dukani, tukanunua kitoweo, tukatayarisha chakula na sasa tumeweka mezani , kwa nini mnatutegemea kuwatafunia na kuwamezea ? Jamani hii ni JF na wachangiaji wanategemewa angalau wawe na uelewa usio chini ya ule wa wastani hivyo Romantic, mbona hueleweki ? Labda hilo umbo la Lowassa linawatisha hata msione - but what's so hard to comprehend ?
Mkuu wangu nakuomba sana wewe na wenzako endeleeni kutetea kama navyowafahamu watu wengi wa Chadema na baadhi ya wasomi ambao wanafanya makosa makubwa kwa sababu wameshindwa kufuata kanuni za Mkandara...Unakumbuka huwa nasema kitu gani kila mara?..
Kumbukeni kwa kila jambo weka mbele kwanza - WATU na MAZINGIRA...
Mkuu, Watanzania kwa asili yetu sio watu wa kuwapa sifa za mtu ama kitu chochote pasipo kudhamiria na kuridshia kwa moyo wako wote na sifa hizo, kwa sababu sisi ni Maskini wa HALI (ELIMU) na pasipo hali bora, Mali ni swala la matokeo ya ukosefuwa wa hali..
Ikumbukwe sana kwamba JK hakuwa na sifa za uongozi bora, madudu yake mengi yalisemwa sana mitaani akihusishwa na Mkapa lakini walipoujenga uadui na kunadi sifa hadi hapa JF taratibu watu walianza kumkubali na kumtofautisha na Mkapa...Na JK alishajenga jina lake toka mwaka 1995 baada ya kushinda Mkapa uchaguzi wa CCM isipokuwa alipigwa chini na Nyerere kama huyu Lowassa...Lakini miaka ya ujio wa mwaka 2005, sifa zilianza kuwagwa akaonekana mbora kuliko wengine wote waliobakia kwa maana ya kwamba CCM wote wachafu isipokuwa JK ana nafuu maana alionyesha dalili zote za ukakamavu dhidi ya Ufisadi...Toka wakati huo kila mtu macho yake yalikuwa kwa JK na pengine watu wamesahau tu leo lakini Mkapa alichukiwa toka siku anaingia madarakani..
JK alisifiwa kwa uchafu wake akapambwa na lulu na kumwagiwa manukato ya Mzeituni utamwambia nini Mtanzania na JK maana hata Wazanzibar walisahau kwamba ni zamu yao kumsimamisha rais, JK alionesha upinzani mkuwbwa kwa Mkapa na kuahidi mengi tofauti lakini jamani nyoka kujivua gamba haina maana kapoteza tamu sumu yake... waswahili wanasema Kipovu haachi fimbo yake...
Na dhahiri ilipofika mwaka 2005 kila mtu alijua wazi JK anachukua Urais... Kina Mbowe na Lipumba wenyewe walitamka wazi kwamba CCM imemchagua mgombea anayeuzika na walikubali kushindwa mapema hata kabla kura hazijahesabiwa. Hii yote inatokana na WATU wenyewe Tulivyo (MIAFRIKA)...
mfano mwingine, Uliyaona na Loliondo na wapo wengi hadi leo wanaamini kabisa kwamba kikombe cha babu kilikuwa ponya ya HIV, Cancer na Kisukari na walikwenda hadi viongozi wakubwa sana serikalini mpaka JK mwenyewe na mkewe, hilo bunge sijui nani hakwenda yote hii inatokana na WATU.. na MAZINGIRA yenyewe ndio ktk Umaskini wetu wa Hali na Mali..maskini mkuu wangu anaweza hata kuuzosha mwanawe wa miaka 9 kwa sababu tu ya sifa na nuru ulokuwa nayo waakamini huyu ndiye mkombozi wetu.
Labda nizidishe machungu zaidi, unakumbuka ya Albino, watu wenye vipara, na zamani sana ngozi ya mzungu hizi zote ni sifa walizopewa kuimanishwa WATU wetu kwamba zilikuwa dawa za umaskini na kwa sababu hatuna Hali watu waliua ndugu, jamaa, majirani kwa sababu walidanganywa kwa kujazwa UONGO na wakaamini...
Kwa hiiyo tukumbuke sisi ni WATU gani ya kwamba ktk makutano ya mvuto wa WATU na MAZINGIRA ndio umetujenga kuwa Taifa la WADANGANYIKA na unapofanya mzaha wa jambo lolote ama kufikiri kwamba siku ya kura wananchi watapata akili tofauti dhidi ya Lowasssa, basi mkuu wangu imekula kwako. Sisi ni Wadanganyika na jambo tutakalo amini leo, ndilo kesho litaenda ktk sanduku la kura mwaka 2015..
Hapakuwa na sababu kabisa ya JK kushinda tena mwaka 2010.. umesema mwenyewe huko nyuma na umeonyesha kushangaa ama kukata tamaa lakini umeshindwa kuwafanyia utafiti wananchi wenyewe kwa nini wanakuwa hivyo... JK alikuwa aanguke kwa kura zile zile 80 kwa 20 lakini wadanganyika walipoambiwa tu habari ya Udini - ya kwamba DR.Slaa ni Padre aliyefukuzwa Upadre iweje agombee Urais, basi waswahili tukaamini na zikatoka nakala za MoU wakati wa Dr.Slaa as if yeye ndiye mwanzishi.. ..Na Mdanganyika, mdanganye kweli maana ukisema ukweli hatakupenda! iwe mkeo mwanao na hata mzazi wako uongo ndio pekee unaweza kukupa mafanikio ktk jamii zetu...Hii ndio silaha kubwa ya CCM kufitinisha, kuwafanya wadanganyika waamini hata kuogopa unyasi wanaoukanyaga!
Wee si unaona wazungu kutoka Czech, Mapopo (Nigeria) na Wazaire wanavyowachukua dada zetu wakiitwa Foreigners?..Ni imanintu imejengwa kwamba ukimpata foreigner atakujengea nyumba na pengine kukurusha kwenda dreamland maana kwa mswahili dreamland ni mahala popote nje ya Tz..Sisi wenyewe tukimpata mtishi basi lazima makamuzi Kempiski na MovenPick uonekane una kitu cha nje!!... Hii ndio akili ya Mdanganyika ambaye kwa umaskini wake amekuwa limbukeni vile vile.. Tuna maradhi mengi sana hivyo sii rahisi kabisa Wadanganyika wakakusoma..
Na wala usifanye mzaha, watu hawa wanaamini kweli vile...wanaamini Lowassa is clean isipokuwa mchafu ni JK na ushahidi ndio kama huu wanaomwaga hapa kina Pasco..Na ukiuliza sana watakwambia CCM hakuna msafi hivyo ni bora ya Lowassa mwenye uwezo mkubwa wa kukemea... Kukemea kipi? kukemea uchafu hapana sasa atakemea nini ikiwa yeye mwenyewe mchafu na huoga uchafu unadhani ule ukali wake atakemea kipi zaidi ya USAFI?..
Nitamalizia tu kusema ya kwamba hao kina Mwanakijiji, sijuo Ben na wengine wote wanaofikiria bora asimame Lowassa kugombea Urais kwa fikra za kwamba anaweza kushindwa kirahisi zaidi, nawaomba wafikirie upya maana ndio kwanza wamepalilia moto wenyewe maana Wadanganyika hawataelewa machafu mengine yote isipokuwa sifa alokwisha pewa. Kama Loliondo tutajipanga na magari yetu maili 20, hakuna chakula mvua kubwa na wakijaribu kuzuia tutapigana nao kama machinga walivyogoma kuhamisha makao yao kando za barabara..Na tutamlinda kama babu wa Loliondo..
Uchafu unapopinduliwa kuwa usafi basi jua ya kwamba kazi ya kugeuza fikra za maskini itakutana na pingamizi kubwa zaidi kama hao watu wa mabondeni ama Kigamboni japokuwa wazi kabisa inaonekana ni Ujinga na Upumbavu. Kama leo Lowassa kaweza kujisafisha ndani ya chama chake CCM..na nguvu kubwa alokuwa nayo sidhani kama kutakuwa na mtu wa kumshinda ktk sanduku la kura na hata ikitokea hivyo NEC, TISS, Jeshi na Polisi wote kesha waweka ktk kumi zake. Tatizo lake lipo kwa wananchi na kama tutaendelea kujenga sifa hizi basi 2015 msirudi hapa kusema Watanzania wajinga sana...Wamemchagua vipi Lowassa?..makosa yatakuwa yetu sisi kwa kutowasoma Wadanganyika wenyewe.
Romantic, ngoja na mimi niingilie kidogo hii mada maanake naona wakati Pasco anaongelea Lowassa kusimamishwa kuwa mgombea wa CCM, wewe unaongelea jamaa kuwa Raisi wetu 2015 ! Hakuna hata sehemu moja Pasco anaunga mkono Lowassa kuwa Raisi bali anaunga mkono Lowassa kuwa mgomea Uraisi kwa tiketi ya CCM - what's so hard to understand ?
Wengine wetu tunachosisitiza ni kuwa ili mabadiliko ya kweli yatokee hakuna kama Lowassa ndani ya CCM kuteuliwa kugombea Uraisi mwaka 2015 - siri ni kugombea ! Hilo la kuwa Raisi ni kitu tofauti kabisaaa na hapa ndipo wengi tumeshindwa kuona kwamba ili mabadiliko ya kweli yafanikiwe, ndani ya CCM hakuna mtu muhimu kama Lowassa - what's so hard to see ?
Tumekwenda dukani, tukanunua kitoweo, tukatayarisha chakula na sasa tumeweka mezani , kwa nini mnatutegemea kuwatafunia na kuwamezea ? Jamani hii ni JF na wachangiaji wanategemewa angalau wawe na uelewa usio chini ya ule wa wastani hivyo Romantic, mbona hueleweki ? Labda hilo umbo la Lowassa linawatisha hata msione - but what's so hard to comprehend ?
Wanatushangaa sisi raia wa NCHI hii hivi tulivyo. Tunaandamana kwa ajili sh 200 ya kuvuka kwenda Kigamboni!
Maandishi yako haya naweza kusema kwangu yameleta mapinduzi makubwa leo...nikiri kwamba baada kukusoma wewe nikalazimika kurudia maandiko ya P moja baada ya jingine toka thread hii ianze,niseme tu nimewaelewa wote japo nasikitika sana kuchelewa kuelewa,kama mtafuatilia maandishi yangu sijawahi hata kuliandika jina Pasco kwenye michango yangu mbalimbali,nilimuona nuksi,alieruhusu bei yake kufahamika,nilikosea,naomba mlioelewa mapema mniwie radhil,leo naliandika jina pasco kwa mara ya kwanza kwenye maandishi yangu.....ila napenda kumuasa awe muangalifu sana katika kazi yake hapa ndani,pasco ni miongoni mwa watu wanaojua kuandika na maandishi yake yana ushawashi sana,humu kuna watu mbalimbali na tunaingia humu kwa malengo tofauti tofauti wapo watu sio wengi lakini wapo ambao huja humu kuchukua maneno ya kwenda kuhadithia huko site,ambako ndiko waliko wapiga kura ambao wengi kuingia humu na kumuelewa mtu kama pasco anasema nini ni muhali,wao watamtegemea huyu mwenzetu mshereheshaji wa maneno ya pasco bila tafakuli ya kina,tuwatizame kwa jicho la huruma hao wenzetu wa huko site ambao ni muhimu sana katika kuleta mapinduzi!
Lingine kuna mwenzetu mmoja hapa aliligusia hapo nyuma,la kwamba uzoefu unaonyesha mgombea wa ccm mara zote ndio huwa rais wetu,hili pia watu wa aina ya Pasco walitazame pia kwa kina,sisi wengine hilo tumeshalipima ndio maana mnaona tunajaribu kuanzisha mapambano ya ndani kwa ndani,ambayo mimi nasisitiza ntaendelea nayo,naamini zaidi katika ushindi wa ndani dhidi ya adui!
mwisho wa siku niseme asante kwako Bwana Mag 3,si kawaida yangu kutaja taja majina ya watu humu lakini kama nilivyosema leo imekua ni siku ya mapinduzi makubwa kwangu.
Aluta Continua japo kwa strategy tofauti!
DSN.....watu wamenunuliwa
halafu wanajifanya ndio strategy ya ushindi........wanafikiri Lowassa ni mjinga??
yaani aweze kuwa mgombea wa ccm halafu ashindwe kuwa rais????
hii nchi ni full comedy.....
mkuu heshima yako,
pasco amepanda EL airline imfikishe NEC na sio magogoni, akishaona EL kafika NEC atahamia ndege nyingine itakayomfikisha magogoni. hata mimi nimeamua kupanda hiyo ndege kwa mda,
DSN.....watu wamenunuliwa
halafu wanajifanya ndio strategy ya ushindi........wanafikiri Lowassa ni mjinga??
yaani aweze kuwa mgombea wa ccm halafu ashindwe kuwa rais????
hii nchi ni full comedy.....
DSN.....watu wamenunuliwa
halafu wanajifanya ndio strategy ya ushindi........wanafikiri Lowassa ni mjinga??
yaani aweze kuwa mgombea wa ccm halafu ashindwe kuwa rais????
hii nchi ni full comedy.....
Pole sana kaka kama ulikua hujamuelewa Pasco. Sie tuliliona toka mwanzo na bahati mbaya kazi aliyokua anaifanya nadhani bado hamjamuelewa.
Ngoja niiweke wazi basi angalau uelewe zaidi!.
Chadema wanaamini akisimama EL watashinda urais kwa ulaini. Mie NINAKATAA
Uchaguzi uliopita walishinda, ilikuwaje?.
Niamini ndugu yangu, kama CCM wakimweka EL watashinda uchaguzi kwenye nafasi ya urais. Kama wakimweka Membe wamekwisha. Believe me.
Chaguzi nyingi Tanzania zinaendeshwa na non Human RESOURCES, Human resources zina play party ndogo zana kwenye kura especially za urais. Vyama vya upinzani hawana wawakilishi kwenye vituo vyote vya kupigia kura Tanzania nzima.
Nimekumegea kidogo tu kwanini hii strategy ya Pasco imekufanya UHAMISHE GOAL POST huku Pasco akilirudisha bila wewe kujua na mwishoni TUNAWAFUNGA BAO........ kutahamaki mmechelewa ELAirline ina tua pale MAGOGONI.
EL anachohitaji sasa hivi nikupitishw ana CCM tu, baada ya hapo ma master strategists na ma spin doctors wapo wa kumwaga tunafanya kazi kuliko ya bwana ROVE wa GWBush!
boss, mkuu mimi nawaelewa sana jamaa zangu lakini ngome pekee tulobakia nayo ni wananchi wenyewe. Nasikitika sana kusema kwamba nimesikia habari za pembeni pembeni ingawa sina uhakika kwamba chadema wanampigia debe lowasssa kwa sababu wanataka yeye asimame maana itakuwa baraka kwao na watamshinda kirahisi ktk sanduku la kura..
Hizi ni ndoto za mwendawazimu kabisa....mifano ya jk nimeutoa huko nyuma na mtu yeyote atakayesimama kugombea urais ccm lazima ashinde hata iwe karamagi sasa unapofikiria jemedari lowassa ndiye asimame kama mgombea kweli akili hii nzuri?...ccm hawawezi kushindwa kupitia sanduku la kura na chadema wanatakiwa kufikiria nje kabisa ya sanduku la kura maana huko hakuna ushindi..
Labda niwakumbusheni tu kwamba rev. Kishoka aliwahi kuandika hapa jf kwamba ujio wa jk ni baraka kwetu na akamshukuru mungu.... Je, mnakumbuka akidhania ya kwamba mwaka 2010 itakuwa rahisi sana kwa chadema kuchukua majimbo mengi tena wakiweka hesabu ndogo ya kupata majimbo 100. Na tukumbuke machafu yote yalikuwa ya lowassa na kweli el alibeba mzito wa chama laa sivyo ccm ingesambaratika. Pengine watu mnasahau jinsi chama kilivyoingia matatani hadi kukazuka mapambanaji?.. Jk asingepona wala ccm tuijuayo isingefika leo lakini kujiuzulu kwa lowassa ndiko kuliko kiweka chama pamoja na kikubwa zaidi kuvuruga tactic ya chadema dhidi ya jk na uchaguzi wa mwaka 2010..
Toka siku hiyo story kubwa ilikuwa richmond ni mali ya lowassa na rostam tukasahau kwamba nec bado ni ile ile (ya uchakachuaji) na utaratibu wa uchaguzi bado in favour of chama kimoja yaani kumchagua mtu (nyumba au jembe) na sio chama maana siku zote tunatumikia dira na sera za ccm pekee..
Mbinu iliyofuata toka ccm ni kuvibomoa vyama vya upinzani from within. Mimi nina hakika kabisa watu kuweka makundi dhidi ya kambi ya zitto ni mpango uliotoka ccm. Mana cuf kumchukuia hamad rashid ni mpango uliotoka ccm kwa maana kwamba hawa watu wakielewana kuna uwezekanao mkubwa wa ccm kuanguka. Kwa hiyo kambi ya mbowe, maalim seif, zitto na hamad rashid wote wana habari za kutisha kuhusu kambi nyingine..wanaogopana sana na wengine hata kuwa karibu na ccm zaidi kwa hofu ya kuogopa unyasi..
Hivyo wakati mnafikiria kumbomoa ama kumpandisha chat lowassa fahamuni pia kwamba naye el na ccm wako kazini kumaliza nguvu ya vyama vya upinzani (offense) wakati vyama hivi vimeshindwa kuweka defend..na sisi wananchi tunaendelea kuota ndoto za mchana na kuomba mungu ccm kugawanyika wenyewe. There is no way tutamshinda ccm kwa fikra na tactics, mzee malecela aliisha sema ccm ina mbinu nyingin sana haiwezi kushindwa uchaguzi.