29Oct2025
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,975
- 8,270
Na ww unaamini kabsa hapa tanzania kuna vyama vya upinzani ukimtoa mtoto mtundu waliobakia wote wafanyabiashara za siasa''Shein hakushinda uchaguzi Zanzibar. Kilichofanyika ni Mkapa, Rostam, Karume kumhonga pesa za kutosha sana Maalim kupitia kwa kijana wao hatari sana Jussa (kumbuka huyu aliletwa na Rosatm ili umteue awe mbunge)"
Kumbee jussa ni kazi maalum...