Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
aisee kazi kweli inamaana kama asingewekewa viini vya kansa angeishi milele?je alikuwa ana mkataba na mungu
Umejiuliza ukaishia njiani, sikulaumu nu ugonjwa unaowasumbua wengi hou.......
Ungeendelea kujiuliza na JK je angeishi milele kuusubiri uraisi! ungepata jibu la nilichokuwa nakisema.......
Uchovu wa kufikiri ni janga la kitaifa kwani hata JK analo tatizo hili la kwako.