Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

part 2 tayari alishatoa,tnataka part 3 au we mgen nn?ila kma hatari jaman,jk b careful my presdent
 
Speculation ndio siasa zenyewe;

Nakuhakikishia EL hawezi kushinda..hana leadership qualities hadi sasa

Hivi hujui kwamba huyo ndiyo Rais wetu. Usidanganyike na hizo kashfa anazobebeshwa na kubezwa. Atachaguliwa na kuwaacha wengi wakiwa wameshangaa, hali ya hewa itakuja kubadilika baadaye karibu na uchaguzi! Subiri uone.
 
mbambie bwana na kama hataki anaacha
 
Back
Top Bottom