Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

nimesoma post za uyu jamaa zilikua hatari sana ningependa kujua kama bado yuko hai.
 
[emoji16][emoji16] mkuu tuletee desa la Membe kama unalo. hata wakisema umetumwa na jiwe poa tu. huoni jamaa aliandika miaka mitano iliyopita lakini madini mpk leo yanaishi
Sasa ivi ukileta hii mada utaskia"katumwa na jiwe"
 
Huu mtandao ni ule unaompinga magufuli akiwepo membe.
 
Huyu jamaa nahisi alishaokotwa kwenye viroba Coco au ni walishamsaaanane
 
nimesoma post za uyu jamaa zilikua hatari sana ningependa kujua kama bado yuko hai.
mtafute jason bourne kabla hajawa compromised na yericko nyerere ambaye Chadema ilimmaliza kabisa.
 


Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh! Ndiyo raha ya JF.
A king Maker story. Na majuzi kamtembelea baba magogoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…