Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Lini nilisema niko "Ulaya", uongo mwingine hauna kichwa wala miguu. "Ulaya" nimeenda kutenbea au kwa kazi tu. Mimi sasa hvi nipo Mkuranga.
hahahahahaha Lizaboni
Last edited by a moderator: