Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

Hutaki unaacha na akapotea kabisa atatuacha tushuhudie haya.
 
Duh watu wana taarifa
 
Du kwamba RIP mzee Apson
 
Du hutaki unaacha kumbe ni huyu mzee basi kabla hajafa angemalizia uzi manake he had nothing to loose
 
hapa kwa RA sasa ndio nimeanza kuelewa, miaka yote nilidhani huyu jamaa aliandika ili kujimwambafai tu na kuwakuza EL na RA........


baada ya biashara ya Accasia (Barrick to be precise!) kuingia mdudu huyu mzee ghafla alirudi bongo na kuonekana na number 1 wetu, ghafla EL nae karejea nyumbani...... mara paap mambo ya mgogoro wa Barrick na serikali yetu ukaisha kiajabu ajabu!


hakuna deni tena, hakuna kishika uchumba, hakuna nini......... looks like RA is too big to deal with!
 
Na Rostam ghafla amepotea zake.
 
Kuna taarifa niliiona ya Kikwete kuongezewa ulinzi
 
Kumbe uzi wa zamani miaka 10 iliyopita.Tupe mrejesho
 
Sasa kupitia huu uzi, nazidi kuelewa kitu, asante sana muhandishi.
 
Rostam akafanya yake, jiwe likakutana na baruti....pwaaaa! man down!!! Kazi bado inaendelea, ujio wa Rostam mwezi ujao sijuhi itakuwa operation gani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…