Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

Kweli jiwe letu hapa lilisagwa
 
Nyakati hizo😀😀

Inanikumbusha ngoma za Old School yan😀🎶🎵🎤🎤
 

Issue ya Rostam inaweza kuwa ni kweli, nikikumbuka Madam President alivyoyua USA, Rostam alionekana kuwa naye pembeni yake, wakitia sign makubaliano nyeti. Who is RA?
 
Watu walikuwa mbele ya muda
 
kama hali ndio hii tusiumize kichwa kwa huyu mtu, Mtu ambaye U.S inamtumia kuchuma information Iran sisi wabongo tunaweza pambana nae vipi? ni bora tumkabidhi uraisi tu yaishe.
 
Ukiipitia hii hadithi utajua polepole anajua mengi zaidi ya ayasemayo na hawezi kuyasema hayo mengi sababu akiropoka tu anajua itakula kwake

hahahaha, mkuu wa wilaya, katibu mwenezi na Balozi ndio awe anayajua meengi, basi Amosi Makala naye atakuwa anayajua mengi kuliko HP, Paul Makonda basi atakuwa anayajua mengi kuliko HP.... JM anaweza kuwa anayajua meeengi kujaza makontena kuliko HP.

Kuna kujua meengi na details zake na kuna kusikiasikia hadithi za hapa na pale kama wengine wanavyosikia.

ndani ya viunga vya Hodeidah Yemen.
 
Kati ya hao nani anafikia nusu ya akili za Polepole?
Nani ameshakuwa balozi nchi zaidi ya moja?
Nani ameenda Cuba?
Nani mjamaa?
Umemuelewa aliposema amejifunza mengi akiwa Cuba ameiva hasa?
Umemuelewa alipotoa kauli za kutetea Cuba kuwa wamewekewa vikwazo kwa uonevu?
Nani Kati yao amekuwa mkufunzi mzuri wakati akiwa Katibu wa uenezi katika idara ya habari, mafunzo na itikadi wa CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…