Kikwete Kafanya Vyema Wapi?

Kikwete Kafanya Vyema Wapi?

1. Miundo mbinu, kilometre za lami kwa awamu ya 4 ni nyingi kuliko ukijumlisha za awamu ya kwanza mpaka ya 3
2. ujenzi wa madaraja: kigamboni - on progress na mto malagarasi
3. Mgawo wa maendeleo sawa kwa taifa. Lami na miradi ya maendeleoa imefika mtwara, Ruvuma,kigoma, Rukwa, Tabora na Lindi na Pemba. Awamu ya 1 to 3...lami na miradi ya maendeleo ilikuwa baadhi ya mikoa na kanda km kaskazini

4. Kilimo kwanza: kwa takribani miaka 5 sasa Tanzania ndio inalisha East n central Africa. jana kenya wameomba tani za mahindi 200,000 sudan na somalia wameomba pia

5. Kuboresha mishahara ya wafanyakazi. kikwete ndio raisi wa kwanza kuongeza mishahara sekta ya umma kwa zaidi ya asilimia 40

6. Ujenzi wa bomba la gesi kutoka mtwara kuja dar ambalo.litapunguza adha ya umeme

7. mradi wa DART na tren ya Mwakyembe jijini Dar.

8. Ujenzi wa Terminal 3 uwanja wa Julius Nyerere

9. Mkapa aliua mashirika ya Umma. JK amefufua Reli, NHC, ATC, TANESCO

10. Kuboresha kidogo mikataba ya madini ktk mrahaba na kulipia kodi

11. Ujenzi wa UDOM

12. Mradi vitambulisho vya Taifa

13. Kukibali wazo la kuandika katiba mpya

14. Mradi wa umeme vijijini kupitia REA. zaidi ya asilimia 30 wameunganishwa na umems
15. mradi wa bandar ya bagamoyo

16. mradi wa airpot ya kisasa zanzibar

JK ana mapungufu yake.....lakini alojaaliwa kufanya ni hayo na mengine yanaendelea kutekelezwa

kweli wewe ni GT
___pia amefanikiwa kudhibiti wezi na kwa kweli police wanakula rushwa ila hawacheki na majambazi hasa yale yanayotumia silaha__big up jk baba!
______________oo
ila tukisema mapungufu ni mengu sana kama wizi wa pesa za umma upo juu mno
 
Huyu msanii hana chema alichokifanya zaidi ya kutekeleza yale aliyoyaacha Mkapa. Ikumbukwe, yeye anatekeleza tu ila hajafanya maamuzi ya maana.
mipango ipi ya mkapa
anayoitekeleza jk? udom,barabara,kuongeza idadi ya wahitim vyuo vikuua,upanuzi wa muhi2...2015 rais atatoka zenj,utakonda sana,miaka 20!
 
Amefanikiwa kusafiri kuliko ma Rais wote waliomtangulia!
 
JK 'amefanya vyema' katika 'tasnia' ya kupigwa picha.

Amebobea kuliko rais yoyote yule ....Anapendezaga..!!!


fc7d2c809843cff3_lauri5.jpg


images


8E9U8493.jpg
 
Back
Top Bottom