Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
- Thread starter
- #101
Ndugu, hizi si data za uchumi si za waislam peke yao. Hizi ni data za watanzania wote. Sasa sijui hayo mambo ya mashura wa maimamu na intellectual muslims yanakujaje?Huna hoja na uache longongo zako wee Zawadi Ngudu! Kulikoni ulete takwimu za CIA, ambao kwa Waislamu walio wengi wanafahamika kuwa ni ADUI NAMBARI WANI WA ISLAMU, na ambao bila shaka, Ansar al Sunna/Shura ya Maimamu wanapinga kwa nguvu zao zote (ikiwamo mabomu ya atomiki na nyuklia kama ikiwezekana) chochote kile kinachohusiana na CIA/Wazungu/Wakristo/Makuruseda/Makafiri?
Afterall, if Muslims really do make up 50% of the population in Tanzania, then chances are, one or another Muslim intellectual would have come up with figures that side with your side of the story about the unprecedented, phenomenal successes of Kikwete's economic policies.
Wewe unachotakiwa kufanya hapa, Ms. Zawadi Ngedere, ni kutumwagia takwimu zilizotayarishwa na hao milioni 20 (au 50%) ya Watanzania unaodai ni Waislamu.
Kwa muhtasari nimeelewa kuwa somo limelewka kwako vizuri sana. Ukweli umeufahamu na kwa muujibu wa maelezao yako nahisi nawe unamuunga mkono Kikwete. Hatua nzuri! Sasa tuungane pamoja kuziendeleza na kuzikuza hizo data. Naona tupo pamoja, kwasababu hakuna aliyepinga yale maendeleo ya kiuchumi niliyoyaorodhesha katika #85.
Haluta kontinua!!! Kikwete anaweza.