wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
WanaJf Salaam??
naomba kujua maana mie sio mtaalamu wa katiba.
Leo rais wa Jamhuri katangaza uteuzi wa mkuu mpya wa Jeshi la Police pamoja na naibu wake.
swali langu ametumia katiba gani kutangaza hicho cheo kipya cha naibu IGP? au atapelekwa Zanzibar? maana kwene rasimu ya pili ya katiba nimeona spika akitoka bara naibu wake zanzibar je na kwene majeshi nako ni hivyo?
kwa hiyo tutegemee naibu mkuu w majeshi tena au>?