Hiyo hatari unaiona peke yako......dream on with your fantasy.......unakuwa unaota ndoto za mchana.....nchi ipo shwari na JK kashinda .....asiyekubali kushindwa sio mshindani.....na SIASA haina DROO au MECHI YA MARUDIANO......imetoka.....
Mtu mzima ovyo! Hivi mnatamani vurugu? Mbna swali lakini umbea mwingi? unadhani vurugu zikitokea kuna mtu anayeweza kuzuia? sitamani vurugu kwani hakuna mshindi. Walioiba kura tunawasamehe tunaamini bila kuiba na kubaki madarakani mkono hautaenda kinywani!
Tunaacha tu lakini tukianzisha varangati haitakuwa rahisi kuonekana mshindi. make ntajifanya niko shambani nalima, ukipita nakunyatia nakuzaba nyundo ya kichwani.
Tusameheane tu hata wenye dola msijigambe kuwa mkitangaza hali ya hatari kuna atakey salimika au kuwa mbabe.
So mind your business, and keep quiet.
fanya homework, kujifunza ni wakati gani Rais wa nchi anaweza kutangaza hali ya hatari, stio kukuza vitu visivyo na msingi, na SLAA amejiua kisiasa na ataendelea kujiua kama atazidi kuwasikiliza hao maafisa wa uongo, MBOWE ni bizman, alichotaka keshapata.....SLAA kabaki mtupu mfukoni, kichwani, na siasani...............
acha mbwembwe lete facts!:nono:
Hali inaonekana ni tete sana baada ya Uchaguzi kwenye nchi yetu kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru. Kuna tetesi kwamba huenda JK akatangaza hali ya hatari kwa Taifa mara tu atakapoapishwa. Hii ni kutokana na hali zilizojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi.
Kwa vile JK anajua kabisa kuwa ameingia Ikulu kwa KURA ZA WIZI(CHAKACHUA)akisaidiwa na Tume(NEC),Usalama wa Taifa,Wakuu Wilaya na Mikoa pamoja na Wakurugenzi wao atakuwa na kipindi kigumu cha kuiongoza nchi.
Bado kuna malalamiko na manung'uniko kutoka kila pembe ya Nchi hii kuwa Uchaguzi huu haukuwa Huru wala Haki ingawa wengine wanasema ulikuwa Huru bila Haki. Tayari Chadema wameshawasilisha malalamiko yao NEC pamoja na ushahidi na kuna mipango ya kwenda Mahakamani.
JK anajua kabisa madai ya CHADEMA yana ukweli karibu 90% kama siyo 99% na DHAMIRA yake inamsuta kuwa KURA ALIZOPATA SIYO HALALI. Hilo JK analijua. Safari hii ameingia Ikulu kwa mlango wa uani!
Mtakumbuka siku ile alipokuwa kwenye Mdahalo na Vyombo vya habari alipoulizwa swali kuhusu wizi wa kura. Alijitetea sana kuwa kulingana na mfumo uliopo wa upigaji kura kuiba kura ni vigumu sana. Lakini akatoa HINT ya namna KURA ZINAWEZA KUIBIWA. Kwamba ni wakti wa KUJUMLISHA MATOKEO KWENYE COMPUTER NDIPO WATU WANAWEZA KUCHEZA NA FIGURES KWA KUONGEZA AU KUPUNGUZA NA NDICHO KILICHOTOKEA. KWA HIYO KIKWETE ALIKUWA ANAJUA NA NDIYO MAANA ALIKIGUSIA!
Kwa hiyo basi Rais JK ajaye atakuwa ni Rais asiyejiamini tofauti kabisa na mwaka 2005 alipoingia kwa mbwembwe za kasi mpya,ari mpya na nguvu mpya. Hana tena ujasiri huo!
Hofu ya Kikwete kwa sasa iko kwa CHADEMA NA DR. SLAA. Kwamba DR.SLAA anaonekana ni tishio kwa utawala wake na hakika anamnyima usingizi. Hataweza kutawala kwa amani.
Ni dhahiri kwamba hali ya hatari inawezekana kabisa kulingana na sababu nilizoeleza hapo juu. Kwamba ili KUZIMA VUGUVUGU LA DR.SLAA NA CHADEMA pamoja na wafuasi wao A CURFEW IS INEVITABLE.Vinginevyo JK na CCM atatawala kwa taaabu sana.
Tusubiri tuone nini kinakuja.
Wasaalamu.
hali inaonekana ni tete sana baada ya uchaguzi kwenye nchi yetu kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru. Kuna tetesi kwamba huenda jk akatangaza hali ya hatari kwa taifa mara tu atakapoapishwa. Hii ni kutokana na hali zilizojitokeza wakati na baada ya uchaguzi.
Kwa vile jk anajua kabisa kuwa ameingia ikulu kwa kura za wizi(chakachua)akisaidiwa na tume(nec),usalama wa taifa,wakuu wilaya na mikoa pamoja na wakurugenzi wao atakuwa na kipindi kigumu cha kuiongoza nchi.
Bado kuna malalamiko na manung'uniko kutoka kila pembe ya nchi hii kuwa uchaguzi huu haukuwa huru wala haki ingawa wengine wanasema ulikuwa huru bila haki. Tayari chadema wameshawasilisha malalamiko yao nec pamoja na ushahidi na kuna mipango ya kwenda mahakamani.
Jk anajua kabisa madai ya chadema yana ukweli karibu 90% kama siyo 99% na dhamira yake inamsuta kuwa kura alizopata siyo halali. Hilo jk analijua. Safari hii ameingia ikulu kwa mlango wa uani!
mtakumbuka siku ile alipokuwa kwenye mdahalo na vyombo vya habari alipoulizwa swali kuhusu wizi wa kura. Alijitetea sana kuwa kulingana na mfumo uliopo wa upigaji kura kuiba kura ni vigumu sana. Lakini akatoa hint ya namna kura zinaweza kuibiwa. Kwamba ni wakti wa kujumlisha matokeo kwenye computer ndipo watu wanaweza kucheza na figures kwa kuongeza au kupunguza na ndicho kilichotokea. Kwa hiyo kikwete alikuwa anajua na ndiyo maana alikigusia!
kwa hiyo basi rais jk ajaye atakuwa ni rais asiyejiamini tofauti kabisa na mwaka 2005 alipoingia kwa mbwembwe za kasi mpya,ari mpya na nguvu mpya. Hana tena ujasiri huo!
Hofu ya kikwete kwa sasa iko kwa chadema na dr. Slaa. Kwamba dr.slaa anaonekana ni tishio kwa utawala wake na hakika anamnyima usingizi. Hataweza kutawala kwa amani.
Ni dhahiri kwamba hali ya hatari inawezekana kabisa kulingana na sababu nilizoeleza hapo juu. Kwamba ili kuzima vuguvugu la dr.slaa na chadema pamoja na wafuasi wao a curfew is inevitable.vinginevyo jk na ccm atatawala kwa taaabu sana.
Tusubiri tuone nini kinakuja.
Wasaalamu.
Kwa wale tuliosoma kiswahili, ktk tamthilia ya kitabu cha Kuli mtakumbuka usemi huu "Yana mwisho haya"
Waungwana, kuna wanajamii wengine wako gizani bado hata kama wanaingia katika "net" mtazamo na rai yangu ni kwamba, ukilumbana na mwendawazimu kuna uwezekano wewe uliye muungwana ukaonekana kama ni zaidi yake. Tujenge hoja za msingi, kamwe hatutaweza kukomboa nchi yetu kwa vikao vya jikoni aka kitchen party zinazofanywa na mbumbu wanatazama tu kwa umbali na ama/au urefu wa pua zao. Tunahitaji ukombozi mpya, nchi mpya, siasa mpya na historia mpya. Wao walioshuhudia uhuru pamoja na vijiambata vyao aka annextures, wamejawa na ukale, ukale ambao unalifanya taifa hili liendelee kubaki nyuma.LAKINI NIKIREJEA maneno ya Hitler aliwahi kusema, " Nini ni bahati njema kwa serikali siku zote ni kuona watu hawafikiri"(nimechakachua) nikiweka kwa kimombo;What good fortune for governments that the people do not think. Ninatamani mapinduzi, mapinduzi mapya, ya kizazi kipya. KATIBA MBOVU NI MSINGI WA KUDIDIMIZA DEMOKRASIA NA NDIO MSINGI WA KUBAKI KWA CHAMA TAWALA. TUDAI KATIBA MPYA KWANZA KABLA YA UCHAGUZI UJAO, VINGINEVYO TUTAENDELEA KUPATA VIONGOZI WASIO WAADILIFU NA WASIO WAZAZLENDO, WASIO NA RIDHAA HALISI NA YA DHATI KUTOKA KWA WANANCHI. KWA KATIBA ILIYOPO KUNA SIKU TUTAPATA RAIS MWENDAWAZIMU NA KATIBA ITAMLINDA. TUNAWAJIBU WA KUDAI KATIBA MPYA KWANZA KABLA YA UCHAGUZI UJAO. Nasema mapambano ni msingi wa kila jambo, demokrasia ya kweli haitapatikana na kamwe haipatikano kwa gharama rahisi. Struggle is the father of all things. It is not by the principles of humanity that man lives or is able to preserve himself above the animal world, but solely by means of the most brutal struggle. Adolf Hitler. Maneno yanaweza kuwa yanatisha lakini huo ndio ukweli.
Soma kwanza sheria ndio utoe hoja.
Madaraka ya kutangaza hali ya hatari
Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
32.-(1) Bila ya kuathiri Katiba hii, au sheria iliyotungwa na Bunge kwa ajili hiyo, Rais aweza kutangaza hali ya hatari katika Jamhuri ya Muungano au katika sehemu yake yoyote.
(2) Rais aweza tu kutangaza kuwa kuna hali ya hatari iwapo-
(c) kuna hali halisi ya kuvurugika kwa amani ya jamii au kutoweka kwa usalama wa jamii katika Jamhuri ya Muungano au sehemu yake yoyote kiasi kwamba ni lazima kuchukua hatua za pekee ili kurejesha amani na usalama; au
(d) kuna hatari dhahiri na kubwa, kiasi kwamba amani ya jamii itavurugika na usalama wa raia kutoweka katika Jamhuri ya Muungano au sehemu yake yoyote ambayo haiwezi kuepukika isipokuwa kwa kutumia mamlaka ya pekee; au
(e) karibu kutatokea tukio la hatari au tukio la balaa au la baa ya kimazingira ambalo linatishia jamii au sehemu ya jamii katika Jamhuri ya Muungano; au
(f) kuna aina nyingineyo ya hatari ambayo kwa dhahiri ni tishio kwa nchi.
(3) Endapo inatangazwa kwamba kuna hali ya hatari katika Jamhuri ya Muungano nzima, au katika Tanzania bara nzima au Tanzania Zanzibar nzima, Rais atatuma mara moja nakala ya tangazo hilo kwa Spika wa Bunge ambaye, baada ya kushauriana na Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni, ataitisha mkutano wa Bunge, ndani ya siku zisizozidi kumi na nne, ili kuitafakari hali ya mambo na kuamua kupitisha au kutopitisha azimio, litakaloungwa mkono na kura za wajumbe wasiopungua theluthi mbili ya wajumbe wote, la kuunga mkono tangazo la hali ya hatari lililotolewa na Rais.
Sidhani kama tumefikia stage ya Rais kutangaza hali ya hatari. Kwa vile mmeambiwa kumonitor hali ya usalama kwa masaa 24 yajayo haimaanishi kwamba hakuna usalama wa jamii. Watu tunaogopa usalama wetu dhidi ya majambazi. Nothing else.