Kwa msemo wa Mwanakijiji, kuna watu wanapenda kucheza muziki hata kama muziki umefika mwisho wake. Ainiingii akilini Mbunge mwenye makende mawili akitembea nayo kwenye suruali yake anatoa hoja zisizokuwa na kichwa wala miguu. Huo ni ulevi tu wa wale ambao bongo zao zimelala huku zikiamini kuwa bado ni usiku wakati ni mchana kweupe.I feel sorry kwa constituents wa Mtera lakini hata hivyo walitumia demokrasia yao. Siwezi kuwalaumu ila nawasikitikia. JK hasijejidanganya hata kidogo ku-support huo ujinga wa Lusinde. Hapa si Uganda kwa Museveni, watanzania wamechoka na UBINAFSI na UFALME. Nafikiri Mbunge wa CUF (Hamad Rashid) aliyekuwa anaponda hoja ya Lissu kupinga Ufalme, sasa ni wakati wake kutambua ni nini Lissu alikuwa akimaanisha.