Tetesi: Kikwete kupanda mlima Kilimanjaro kwa mara ya kwanza toka awe Rais wa Tanzania

Tetesi: Kikwete kupanda mlima Kilimanjaro kwa mara ya kwanza toka awe Rais wa Tanzania

Kwa mawazo yangu, rais hawezi kujiamulia kufanya jambo kama hilo pasipo usalama kumruhusu, huenda alitamani kufanya hivyo lakini akashauriwa si salama kwake kama rais, kwa sasa anaweza kujiamulia kupanda au asipende...nampongeza
 
Back
Top Bottom