MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 28,064 Reaction score 31,401 Jul 16, 2016 #21 Ataishia njiani tu
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Jul 16, 2016 #22 Kwa mawazo yangu, rais hawezi kujiamulia kufanya jambo kama hilo pasipo usalama kumruhusu, huenda alitamani kufanya hivyo lakini akashauriwa si salama kwake kama rais, kwa sasa anaweza kujiamulia kupanda au asipende...nampongeza
Kwa mawazo yangu, rais hawezi kujiamulia kufanya jambo kama hilo pasipo usalama kumruhusu, huenda alitamani kufanya hivyo lakini akashauriwa si salama kwake kama rais, kwa sasa anaweza kujiamulia kupanda au asipende...nampongeza