Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Wa mwisho alikuwa yule mama Albino. Jina lake gumu kidogo. Jimbo la Ikulu nadhani imebaki nafasi moja.
Bado 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa mwisho alikuwa yule mama Albino. Jina lake gumu kidogo. Jimbo la Ikulu nadhani imebaki nafasi moja.
Ukishaingia Bungeni ni hadi uchaguzi unaofuata isipokuwa AG peke yake.Na ideally alitakiwa kuwapa watu kumi anaoona wanafaa kuingia kwenye cabinet lakini hawana ubunge...hiyo ndio sababu ya kupewa nafasi hiyo lakini yeye anawapa maswahiba...sofia tu ndio yuko katika cabinet....
MMM by the way hivi Mama Anna Abdallah yuko bungeni kwa msingi gani?si aliingia kama mwenyekiti wa UWT ambao hana tena?
Anatakiwa kuteua "not more than ten members". Kumbe halazimiki kuteua 10.Bado 2
Nani alikuambia kuna vetting tanzania?? ona hawaLakini kweli kuna ugumu wa kujaza nafasi hizi au ndiyo vetting process ni ndefu kiasi hiki?
you guys and your country, I always tell pipo of this tz kwamba, ili tubadilike tunahitaji dictator pale jimbo la ikulu angalau hata kwa miaka miwili. asafishe uozo aliouanzisha mwinyi, wakaumwagilia na kuutunza mkapa na JK.
Tunahitaji mtu wa kutupeleka mchaka mchaka, ili tubadilike. kwa style hii ya U-vasco Dagama, kuchekea chekea watu hovyo hovyo, viongozi bogus wa vyama kama akina makamba, chiligati...., less that 10% ya mawaziri ndiyo wanaostahili kuwa mawaziri..............!!!!!!development and change in TZ is like chasing Kambarage's figments of immagination.
Nyerere hata baada ya robo karne tangu aondoke madarakani? Hivi woote tulifanya kazi na Mwalimu?Mkuu yote haya ni mazao ya nyerere, ali-deresponsibilitize wote akabaki mwenyewe (aliwashikia watu mawazo)
watanzania ni wavivu, walalamishi na hawapendi kuambiwa ukweli... for us to change hatuhitaji dictator, tunahitaji change ya mindset na mara nyingi inatoka kwa radicals
JK HAS FAILED US MISERABLY BECUASE WE ALLOWED HIM TO DO SO... WE ARE TO BLAME!!
Anatakiwa kuteua "not more than ten members". Kumbe halazimiki kuteua 10.
Wengine ni washauri wake wa karibu kama Kingunge, wengine ni wasaidizi wake kama SS, Mohamed Aboud, Makamba, Meghji, wengine baba zao ni rafiki na watu waliomsaidia kuukwaa Urais kama Mwang'onda.Your rightly so...but for what purpose?
Wengine ni washauri wake wa karibu kama Kingunge, wengine ni wasaidizi wake kama SS, Mohamed Aboud, Makamba, Meghji, wengine baba zao ni rafiki na watu waliomsaidia kuukwaa Urais kama Mwang'onda.
Yule mama Albino ni kwa huruma tu. Wamekufa Albino wengi......
Bunge letu lilipo mtengea nafasi hizi halikumwambia ni ajili gani!
Bado 2
Angalia pia mishahara/maslahi, mafao, marupurupu, posho wanazopata Wabunge wetu. Ni lazima uwaweke mle wanaokusaidia/kushauri ili nao waambulie, akili zikae sawa, ili wakusaidie vizuri.Asante kwa ufahamu ila
1.Hao washauri lazima wawe bungeni?hawawezi kumshauri nje ya bunge?
2.Wasaidizi pia?bungeni si wanawakilishwa wananchi
3.Mimi nilidhani dhana sawia ni kumuwezesha rais kupata mawaziri makini pale ambapo atashindwa kuwapata kutoka kwa elected MPs kwa vile huwezi kuwa waziri pasi kuwa mbunge
Unajua tatizo moja la kupenda kuzungusha watendaji (recycling) ni kuwa unaweza ukafika mahali ukakuta hauna watu wa kuwazungusha tena. Sasa inabidi utegee tu. Kuna katabia ambako kamekubalika kuwa nafasi fulani za juu bado ni za kundi fulani la watu na hivyo ni hao hao watazungushwa kiasi kwamba wale makada wa ngazi ya kati ni vigumu kwela kupasua paa hilo la nafasi za juu.
Matokeo yake Mkurugenzi wa taasisi moja kubwa anahamishwa na kuwa Mkurugenzi wa taasisi nyingine na vivyo hivyo hadi inafika mahali wanapofika wakati wa kustaafu hatuko tayari wastaafu kwa sababu hatuna watu wengine wa kuingia katika nafasi hizo. Matokeo yake waliostaafu wanaoengezewa muda zaidi si kwa sababu wanahitajika sana la hasha; kwa sababu "hakuna" watu wa kuchukua nafasi zao.
Lakini hili pia linaelezea matokeo ya tatizo jingine ambalo naweza kusema ni sehemu ya "gharama ya ufisadi". Unapokuwa na mfumo wa kiutawala wa ufisadi (MUK) waliomafisadi na makuwadi wao ni wengi sana kwenye system kiasi kwamba ikitokea nafasi nyeti ya kujaza ni vigumu mno kwa sababu wale wote ambao unafikiria wajaze nafasi hizo tayari wana harufu ya ufisadi fisadi.
Pia ni dalili ya mfumo mbaya ambapo hata wakurugenzi wa makampuni ambayo hayahusiani na utendaji wa serikali moja kwa moja wanateuliwa na Rais! Kwanini mtendaji wa Shirika la Bima ateuliwa na Rais? Kwanini mtendaji wa Shirika la Tanesco ateuliwe na Rais? Vipi mtendaji wa ATCL ateuliwe na Rais na wakati huo huo Rais anatakiwa ateue Mkuu wa Usalama wa Taifa n.k ?
Kama wabunge wetu wangeamua kufikiri kidogo wangeondoa mzigo huu wa uteuzi kwenye makampuni yafanyayo biashara ili wakurugenzi wake waingie kwa kushindanishwa (kuomba) na kuteuliwa na Bodi ya Wakurugenzi ambayo nayo iundwe na wadau siyo na wanasiasa.
Matokeo yake Mtawala anaamua Kusettle; yaani kuteua mtu yule ambaye aidha ni fisadi "mdebe mdebe" (mdogo) au fisadi asiyejulikana sana. Na hili linaweza kuelezea kwanini hadi leohii Rais Kikwete anapata shida ya kuachia watu wastaafu na kuteu watendaji wengine.
Hebu angalia taarifa hii kutoka katoto ka "nzi"...
Mzee Mwanakijiji,
Kuna Power Struggle Tanzania ambayo imeota mizizi kotoka vyama vya kisiasa, kuelekea Serikalini na mpaka kwenye Taasisi.
Badala ya kuwa na Utamaduni wa kuchagua watu on merit basis, tunachagua watu kutumia loyalty and pleasing!
Mkuu yote haya ni mazao ya nyerere, ali-deresponsibilitize wote akabaki mwenyewe (aliwashikia watu mawazo)
watanzania ni wavivu, walalamishi na hawapendi kuambiwa ukweli... for us to change hatuhitaji dictator, tunahitaji change ya mindset na mara nyingi inatoka kwa radicals
JK HAS FAILED US MISERABLY BECUASE WE ALLOWED HIM TO DO SO... WE ARE TO BLAME!!