Unajua mi huwa nafikia mahali natamani hata nisivyo na uwezo navyo kama kutandika bakora hawa watendaji wetu..Huyo askari ana walakini!, kinachofahamika kipo wazi kuwa polisi hawajachukua hatua yoyote ya kuchunguza eneo la tukio zaidi ya maelezo yaliyotolewa. Na leo wamesema kuwa ni pombe kali iliyosababisha kifo! Na hii wamenukuu toka kwa daktari! Yaani wao wamekaa chini tu wakisubiri kuletewa kila kitu mikononi mwao!
Mi kwa hilo sishangai na inaonekana kuna kitu kinaendelea kati ya jamaa na Lulu coz hawezi ibuka tu from no where akaja na hayo maujinga yake...st....dSubirini kumuona lulu ndani ya state house. Si mkuu jana kasema kanumba kafa kwa mapenzi ya Mungu?
Yan lijamaa halina hata akili ya kutafakari mambo mepesi....Ndo mkome kuchagua wapiga dufu madrasa kuwa marais..baba zima linaacha high office of this country linaenda sinza eti kwenye msiba..pumbafu kabisa
Kwa hili ndo hivyoNi kweli staring hauwawi hadi movie inaisha!
Alitakiwa kushinikiza jeshi hilo lifanye uchunguzi wa kina ikiwa ni pamoja na kuchunguza eneo la tukio. Kwa yeye kwenda pale ni sawa na kubariki uvivu wa polisi...Kwa hiyo mwandishi unamaanisha kikwete kaingilia uhuru wa polisi km alivoingilia hukumu ya lema? Unatuambia nini sasa; kwamba kikwete anataka kumrithi sk?
...................................
Anayo kesi ya kujibuHivi inatakiwa Lulu ahukumiwe hata kama hana kesi ya kujibu???
Mnanizingua.
Hivi mtu akilewa anangukia kisogo ama pua?
Ndo mkome kuchagua wapiga dufu madrasa kuwa marais..baba zima linaacha high office of this country linaenda sinza eti kwenye msiba..pumbafu kabisa