Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Kama wataruhusu maswali naamini wengi mtapata muda wa kumwuliza.

Itakuwa ni kuanzia saa 1 kamili asubuhi.
 
Du kweli mkulu maji shingoni!!!!!! Tutamsikia mpaka leo tena!
 
Kila anachofanya Rais Dr Slaa lazima na Kikwete aige?
 
Hana jipya huyo msanii tu, kwelia ameamua kuiga kila kitu anachokifanya dr wa ukweli, si aige mbinu za kupambana na ufisadi. Oh sorry kumbe muda wake wa uongozi ndo umefikia mwisho!
 
anastahili hongera .. bado ni kiongozi mzuri.. ila ahadi zake nyingi mno
 
Wanakaribia kuanza wadau.
No mojawapo ni 0786 884 000
ila am worry ka itapataikana
 
Nilitune mida ya 730 nkaambulia miziki tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…