jaxonwaziri
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 375
- 195
Clouds watakuwa wanarecord kwanza kumhakikishia mshikaji usalama wake na simu zitapigwa kabisaaaa toka kwa makada harafu ndo wakirushe hewani na kwa sababu sisi hatutakuwa na uwezo wa kujua tutajua wako live. Kama anashindwa kuwa ontime je anaweza kutuongoza tena mkwele? kuna deal linachezwa.

mbona bado sasa
juha yuko wapi
It is very likely maana huyu jmaa hana utamaduni wa kuembrace free and open discussion! kwa kifupi ni mwoga kuliko kawaida!
Jamaa kaghairi kuhojiwa? Mbona miziki tu na matangazo
Ndo ameanza mida hii..wanamuuliza kuhusu makundi maalum