Kaniki1974
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 352
- 22
Kwikwikwiiiii mimi nacheka na namna wapigakura wanavyozugwa na mbinu hii....huyu mtu alikimbia mjadala wa wagombea wenziwe alipokuwa anautafuta urais leo eti ndo anaongea 'live' na wananchi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENTS OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
.
ama kupitia kwenye barua pepe swalikwarais@yahoo.com .
Hivi ile website ya ikulu vipi? au hata tbc hawana website?Au ndo utani wa akina Salva?
hakuhitaji kuwaomba wananchi waulize masuali ili ayajibu, kwa mtazamo wangu maisha ya mtanzania wa kawaida toka anapoamka asubuhi mpaka anapoamua kulala usiku ni suali la kutosha ambalo halijapatiwa jibu katika miaka minne ya upangaji wake katika jumba jeupe. Sidhani kama jibu linaweza kupatikana katika dakika 90 za kwnye TV
Dk. iddrisa rashid ni mtuhumiwa, unadhani ataruhusu umeme uwepo?
Jamani tuliosafiri kidogo nje ya nchi, tuangalie wapi ? ama tusikilze radio gani Live ?