Hili swali unalipenda sana. Naona kiu yako bado haijapata majibu. Labda tusubiri Hutaki unaacha na Mtoahabari warudi. Wakichelewa tuwatumie nauli!
Amefanana sana na Miraj..kwa sura na Kimo..au urefu........hata kwa namna wanavyochanganyikana na watu....in short ujana ukimpita Miraj Ana future Nzuri kisiasa kuliko Rizwan Mfupi ambaye ..in short hapendwi au hata hapendeki..............Miraj anaweza kukaa na mtu yeyote.....
Ziweke mkuuKama ungefuatilia wafuatao basi na kadi zao za chama mngezichukua:
LEMA,SUGU na ...... Hawa historia zao ziko wazi na mkizitaka nitazimwaga hapa jamvini..................
mkuu umenikumbusha kuhusu hear say na rumours
nimewahi kukutana na watu wanaosema wanamjua Kikwete na niliyosikia
kwa kweli nilitamani mtu wa kuyathibisha upi ukweli na upi sio ukweli...
baadhi niliyoambiwa ni haya....jina Jakaya kwa kikwere maana ya ke ni mtoto wa nyumbani
ja-kaya.....wa-nyumbani.....jina hili linapewa kwa watoto waliofiwa na baba zao na kubaki kulelewa na mama zao tu
sasa yasemekana mama JK alilelewa na baba mwingine aliemuoa mama yake...ndo maana anaitwa Jakaya...
sasa jiulize maswali kibao hapo....na kuna madai kuwa ana dada ambae ndie mtoto hasa wa baba aliemlea
ambae ameolewa na IGP MWEMA.....ilimradi kuna story nyiingi zinazohitaki Clarifications..
...but unapa picha ya personality yake ilivyo....'ya kuthamini waliomsaidia' no matter what...
he doesn't forget a favor.....
hayo ni machache tu lakini Mtikila aliwahi kusema kitu kama 'magonjwa ya kurithi' siku Kikwete alipochaguliwa
sijui alikuwa anajaribu kusema nini......
Sasa unakuta kuna mtu anasema hiyo ni personal lifeHistoria inatusaidia kumjua mtu alikuwaje ingawa kuna nafasi kubwa ya improvement as the time rolls on.
Sasa unakuta kuna mtu anasema hiyo ni personal life
Kwamba hata kama alishindwa kuihudumia familia yake
Akiwa mtu mzima kabisa, wala sio vya utotoni,
Bado ni personal life, haihusiani na maisha ya watanzania
Familia yake mwenyewe kashindwa, ndio ataweza taifa nzima?
Mfano: tunamchaguaje mtu akatuwakilishe EAC huku tukijua kua
mtu huyo hana time na mke wake, mtu huyo hana time na mtoto wake?
Na akiulizwa swali hilo anapiga kimyaaaaa.
Historia inatusaidia kumjua mtu alikuwaje ingawa kuna nafasi kubwa ya improvement as the time rolls on.