G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Leo Rais mstaafu ndugu Jakaya Kikwete akiwa Chalinze na mgombea mwenza wa Rais Magufuli, amesema kuwa Rais Magufuli anetekeleza ilani ya CCM kwa asilimia 85 hivyo anaomba wananchi wamchague tena
Nakumbuka Katibu mkuu wa CCM ndugu Dkt. Bashiru Alli alisema kuwa Rais Magufuli ametekeleza ilani ya CCM kwa asilimia 100 na amepitiliza ikiwemo swala la kuingia uchumi wa kati kabla ya muda uliopangwa
Aisee JK bora akae nyumbani tu maana ajue kuwa kuna mtu anawania kwenda kipiga deki vyumba vya malaika huko mbinguni hivyo asimtie doa.