Kikwete, Mwekezaji asigeuzwe kuwa mmiliki wa Club

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Hii habari iwafikie wale wa Upande B make wameshikiwa akili vibaya mno, yule mtu wa Mumbai anajifanyia anavyo taka.

Club imejaa mbumbu tupu wanacho jua ni kushangilia tu basi.

Screenshot_20210627_204326_com.facebook.katana.jpg
 
Huyu ndiyo ameng'ang'ani li bandari la bagamoyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutesa kwa zamu,unafikiri shetani mwendazake angekuwepo,Chato ingekuwa tayari ni mkoa,amepereka mbuga,airport,angejenga chuo kikuu,kajenga hospitari ya rufaa,angejenga pia Chato international conference centre.

Jitu badala ya kufanyia mikutano ya kimataifa,Dar au Arusha,likaenda kufanyia Chato.
 
Hii habari iwafikie wale wa Upande B make wameshikiwa akili vibaya mno, yule mtu wa Mumbai anajifanyia anavyo taka.

Club imejaa mbumbu tupu wanacho jua ni kushangilia tu basi.

View attachment 1832520

unless awe hana zaid ya 50% shares.. ila akiwa na zaid ya 51% ki uhalisia anakuwa na nguvu ya kimaamuz.. au inakuwaje..

hata ulaya huko team kama Arsenal tunamjua mmilik wake ila sio kwamba ana 100% ya hisa au zaid ya 50% bali ana hisa nying kuliko wengibe.. so kuna privileges anapata

so kwenye makaratas pia MO sio mmilik wa simba.. ila kiutendaj anaonekana kama
mmilik sababu hao wamilik wenyewe hawawez kuendesha club.. hata Yanga itakuwa hivyo kwenye makataras mwekezaj sio mmilik ila kiutendaj anaonekana mmiliki.. kwan sasa hv ikoje team si inaonekana ni ya GSM.. ukimgusa tu hao wenye team wanakwambia mwachie tumempa team

so mark my word kutabadilika kwenye makataras ila uhalisia utabak pale pale.. mwekezaj atakuwa kama mwenye team
 
Tunachotaka mashabiki ni furaha,furaha yetu nikuona timu yetu inafanya vizuri kwenye mashindano mbalimbali bila kujali inamilikiwa na nani kwasababu sitegemei kama mashabiki wa timu wanaweza kupewa gaiwo litokanalo na faida au mapato inayopata timu,wala mashabiki hawawezi kuendesha maisha yao ikiwemo kusomesha watoto kwakupitia mapato ya timu,tunachotaka sisi nifuraha TU.
 
Umewaelezea vizuri.
 
Wenye timu wanataka kuimiliki club na timu yake kwanza kishapo furaha. Wamiliki hupata gawio kutokana na faida inayopatikana wakati mashabiki huchangia faida inayopatikana ili wamiliki wagawane. Upo hapo?!
 
Miaka ile ndio maana mlichukua kombe mara tatu mfululizo.
Juu alikuwa Kikwete.
Katikati Manji.
Chini Malinzi.
Ndio maana kila mechi lazima mpate penati.
Ingawa hamkufika kokote kimataifa shauli ya kubebwa.
Sasa nimegundua.
Juu alikuwa Kikwete.KICHWA
Katikati Manji.TUMBO
Chini Malinzi.MKIA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom