Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tarehe 3 walete timu, tupige 4 kwanzaKwetu sawa tu chamsingi makombe tunayaona na vichapo tunatoa
Kutesa kwa zamu,unafikiri shetani mwendazake angekuwepo,Chato ingekuwa tayari ni mkoa,amepereka mbuga,airport,angejenga chuo kikuu,kajenga hospitari ya rufaa,angejenga pia Chato international conference centre.
Analalamika mbona kulijengwa airport kule,Naye ajengewe bandari.
Hii habari iwafikie wale wa Upande B make wameshikiwa akili vibaya mno, yule mtu wa Mumbai anajifanyia anavyo taka.
Club imejaa mbumbu tupu wanacho jua ni kushangilia tu basi.
View attachment 1832520
Tunachotaka mashabiki ni furaha,furaha yetu nikuona timu yetu inafanya vizuri kwenye mashindano mbalimbali bila kujali inamilikiwa na nani kwasababu sitegemei kama mashabiki wa timu wanaweza kupewa gaiwo litokanalo na faida au mapato inayopata timu,wala mashabiki hawawezi kuendesha maisha yao ikiwemo kusomesha watoto kwakupitia mapato ya timu,tunachotaka sisi nifuraha TU.Hii habari iwafikie wale wa Upande B make wameshikiwa akili vibaya mno, yule mtu wa Mumbai anajifanyia anavyo taka.
Club imejaa mbumbu tupu wanacho jua ni kushangilia tu basi.
View attachment 1832520
Umewaelezea vizuri.unless awe hana zaid ya 50% shares.. ila akiwa na zaid ya 51% ki uhalisia anakuwa na nguvu ya kimaamuz.. au inakuwaje..
hata ulaya huko team kama Arsenal tunamjua mmilik wake ila sio kwamba ana 100% ya hisa au zaid ya 50% bali ana hisa nying kuliko wengibe.. so kuna privileges anapata
so kwenye makaratas pia MO sio mmilik wa simba.. ila kiutendaj anaonekana kama
mmilik sababu hao wamilik wenyewe hawawez kuendesha club.. hata Yanga itakuwa hivyo kwenye makataras mwekezaj sio mmilik ila kiutendaj anaonekana mmiliki.. kwan sasa hv ikoje team si inaonekana ni ya GSM.. ukimgusa tu hao wenye team wanakwambia mwachie tumempa team
so mark my word kutabadilika kwenye makataras ila uhalisia utabak pale pale.. mwekezaj atakuwa kama mwenye team
Mbona Simba wamemuachia club yote MO na Familia yake navwana furaha tu.Kikwete Yuko sahihi..
Mwekezaji kama ana bidhaa zake anazitangaza pia mikabata ijulikane
Wenye timu wanataka kuimiliki club na timu yake kwanza kishapo furaha. Wamiliki hupata gawio kutokana na faida inayopatikana wakati mashabiki huchangia faida inayopatikana ili wamiliki wagawane. Upo hapo?!Tunachotaka mashabiki ni furaha,furaha yetu nikuona timu yetu inafanya vizuri kwenye mashindano mbalimbali bila kujali inamilikiwa na nani kwasababu sitegemei kama mashabiki wa timu wanaweza kupewa gaiwo litokanalo na faida au mapato inayopata timu,wala mashabiki hawawezi kuendesha maisha yao ikiwemo kusomesha watoto kwakupitia mapato ya timu,tunachotaka sisi nifuraha TU.
Wewe Ina akili, achana na hao Mbumbumbu wasiojielewa.Kikwete Yuko sahihi..
Mwekezaji kama ana bidhaa zake anazitangaza pia mikabata ijulikane
Juu alikuwa Kikwete.KICHWAMiaka ile ndio maana mlichukua kombe mara tatu mfululizo.
Juu alikuwa Kikwete.
Katikati Manji.
Chini Malinzi.
Ndio maana kila mechi lazima mpate penati.
Ingawa hamkufika kokote kimataifa shauli ya kubebwa.
Sasa nimegundua.