Elections 2010 Kikwete na Dr. Slaa ni marafiki

Elections 2010 Kikwete na Dr. Slaa ni marafiki

Ukiichunguza sana picha hii utagundua mambo kadhaa wa kadhaa kutokana na body language. Binasfi naona Dk. Slaa amecheka akonyesha moyo mweupe kabisa usio na waa kwa JK kama Rais wa nchi wakati huo. Angalia JK, unaweza kusema anaonyesha nini? Dharau kwa mwenziwe aliyecheka kwa furaha kwa moyo mweupe?
 
Wee vipi? kwani nani kasema hawa watu ni maadui?
 
kuwa wapinzani haimaanishi ni maadui, kwenye kazi za kutumikia taifa lazma wawe kitu kimoja
 
kuwa wapinzani haimaanishi ni maadui, kwenye kazi za kutumikia taifa lazma wawe kitu kimoja


leo kumejaa vi post vingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii vya kutaka kutusahaulisha dhulma za mkwere na ccm yake
 
Dr Slaa hana uadui na JK bali ana ugomvi na ufisadi wa JK na majambazi wenzake
 
Ukiangalia picha utagundua kwamba mkwere amasoma kitu pale, sasa kimemshinda akatafuta clarification kwa slaa, slaa akamfafanulia akamalizia na kumchekaa, kumbe ni kitu kidogo tu!!😎
 
Picha ya kuunga hiyo! Tazama texture ya picha kwa Dr. Slaa ni ya aina mbili kuu: More brighter chini ya mifuko ya shati na relatively dull juu yake. Hii ni cut and paste..., nk


Kati ya JK na Dr. Slaa, kuna difference in light CONTRUST. Kwa JK ni brighter, kwa Dr. Slaa ni dull. Uchakachuaji wa picha unamakosa mengi ya kiufundi.

Don't waste your time with this fake photo!
 
Back
Top Bottom