mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Nyerere alikuja mjini hata kiswahili hajui vizuri ila nyota ikamuangukia wazee wakamuamini wakampa nchi,
Mwinyi aliambiwa achukue fomu kama geresha tu za kisiasa,baadae akaambiwa aondoe jina lake ili Salim aoewe nchi,akagoma,jina likapita kibahatibahati tu.
Siku Mkapa anachukua fomu ya Urais gazeti la Mfanyakazi likaandika''Mkapa naye ajitosa''kwa maandishi madooogo,kilichofuatani historia.
SSH kama sio kifo cha JPM urais angeusikia kwenye redio,amshukuru malaika mtoa roho.
Kikwete mtoto wa mjini nusura aingie ikulu 1995 kama sio kuwa close na EL.japokuwa EL ndio alikuwa sponsor wake,baada ya kuukosa urais,kwa miaka kumi alijipanga kisawasawa ikiwemo kuishi low profile ili kucheza ba akili za watanzania,Tulisoma ahule za kayumba na watoto wake,niliwahi kupanga foleni na JK kwenye ATM za CRDB Holland House posta,niliwahi kucheza draft na JK mitaa ya Shibam nagomeni,niliwahi kunywa supu ba JKHugo House Kinondoni,yote ni kutudanganya kuwa ni mwenzetu.
Timu yake ya Urais yaani wanamrandao wangeamya hata urais wa dunia wangeuchukua,
JPM mnamchukulia poa ila hakuna mtu mjanja kama yeye,kila alichokifanya au kukitamka kwa miaka 20 kabla hajawa Rais ilikuwa ni kampeni tosha,ipo siku nitaweka visa vyake jinsi alivyojipanga,
JPM ni jogoo la shamba lililowika mjini