Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuishi karibu na kanisa haimaanishi wewe ni mchungaji au kuishi karibu na msikiti haimaanishi wewe ni shehe.
JK Alikuwa Mlezi wa Mpira wa Kikapu...Ni kweli,lakini hapo mwalimu alikuwa kishazeeka na JK anaonekana kijana kabisa.
Kwahiyo maybe kauli sahihi ni "JK ameotoka mbali na mwalimu"?
Maana ukiongelea "mbali" ya mwalimu.JK pengine alikuwa shule ya msingi.
Anyways its a good picture.JK najujwa anapenda mpira wa kikapu,ila sijui occassion ilikuwa ni kitu gani,je JK alikuwa waziri wa mchezo na utamaduni?
Tukio lilikuwa nini?ama ni timu ya basketball?maana nakumbuka kulikuwepo na timu ya PAZI.
Nashukuru,JK alikuwa mlezi wa pazi?JK Alikuwa Mlezi wa Mpira wa Kikapu...
Kuhusu kutoka Mabali hilo halina Shaka kwani Jk alishamteua kwenye nafasi mbali mbali za Chama na Serikali...Kumbukia tokea Kule Monduli. Na Umbali sio lazima uwe umesoma na mtu kuanzia shule ya Msingi hata ikizidi miaka kumi tu ni zaidi ya Mbali...
Hizi Occasions za Mwisho za Baba wa Taifa kwenye Viwanja vya Michezo yenye watu wengi...
Ebana Mimi nilikuwa naipenda sana Pazi Nilipokuwa Mdogo Kwenye uwanja wa Pazi Asilia pale Viwanja vya Gymkhana sasa imegeuka Parking ya Hotel ya Serena zamani Sheraton.... Mlezi nayekumbuka ni Marehemu Mzee Malai JK Ni Shabiki mzushi tu kwani kaliacha Game la Basketball Hoi kiuwanja hadi Wachezaji yeye ndie aliyekuwa Mlezi wa Chama cha Basketball Tanzania na alipoingia White House ndio akatutosa...! navyomjua akimaliza Uraisi atajisogeza tu kwani bado anaupenda mchezo huu kuliko Soccer. Pengine yawezekana Uongozi wa wakati ule wa wakina Marehemu Mbamba haukuwa ukimfurahisha maana jamaa walikuwa wababe na pesa hazionekani... Nakumbuka Aluta alipewa Lifeban kikapu cha TanzaniaNashukuru,JK alikuwa mlezi wa pazi?
Kama ndoa zinaweza kuvunjika na watu wakaacha hata kuongea wakati walikuwa wana share kila kitu, iwe urafiki tu.Kupiga picha ya pamoja ndio urafiki?!!!!!!Na hawa je? Utasemaje!!!???![]()
Na ndio maana aliona mbali akasema kikwete bado hafai kuwa raisi ila watu wakafanya hila dhidi Ya Salim A. Salim ili awe raisi, R.I.P Baba wa Taifa!
shindwa, salim A salim hakufanyiwa hila na wanachi bali alifanyiwa na kikwete kupitia karamu ya waandishi wa habari kama unabisha muulize hata sumaye alukuwa akigombea hata ubalozi wa nyumba 10 anapigwa chini...
​wivu wa kike....heeeheehe.
naona meza ya kioo na ashtrays,enzi hizo smoking ndani haijapigwa bani.Na kiti alichokalia mama Nyerere nacho si mchezo kwa enzi hizo!Kupiga picha ya pamoja ndio urafiki?!!!!!!Na hawa je? Utasemaje!!!???![]()