naona meza ya kioo na ashtrays,enzi hizo smoking ndani haijapigwa bani.Na kiti alichokalia mama Nyerere nacho si mchezo kwa enzi hizo!
Kizuri ni kizuri tu,kilikiwa kizuri ,nikizuri,kitabaki kuwa kizuri hata kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona meza ya kioo na ashtrays,enzi hizo smoking ndani haijapigwa bani.Na kiti alichokalia mama Nyerere nacho si mchezo kwa enzi hizo!
Sawa kabisa mkuu,zaidi sana ulikuwa urafiki wa mashaka au hila hasa kwa Kikwete katika harakati za kuutafuta uraisi..Kuishi karibu na kanisa haimaanishi wewe ni mchungaji au kuishi karibu na msikiti haimaanishi wewe ni shehe.
​wivu wa kike....heeeheehe.
Jk ametoka mbali na watu wengi kweli. Hata ray c nae katoka nae mbali na ni marafiki sana.
JK enzi zake hizo alikuwa akipendwa sana na wananchi wa kawaida.Kipindi hicho maeneo ya Sinza shekilango pale lazima ilikuwa akipita awape watu hi.
Meku hapo imenena bila kukosea... Vipi Sinza kulikuwa na Totoz?JK enzi zake hizo alikuwa akipendwa sana na wananchi wa kawaida.Kipindi hicho maeneo ya Sinza shekilango pale lazima ilikuwa akipita awape watu hi.
Watu tukawa tunamwona kama ni "mtu wa watu",hivi sasa mambo ni tofauti kabisa.
Ndiyo mkuu,kulikuwepo,sasa hivi hawapo?Meku hapo imenena bila kukosea... Vipi Sinza kulikuwa na Totoz?
JK enzi zake hizo alikuwa akipendwa sana na wananchi wa kawaida.Kipindi hicho maeneo ya Sinza shekilango pale lazima ilikuwa akipita awape watu hi.
Watu tukawa tunamwona kama ni "mtu wa watu",hivi sasa mambo ni tofauti kabisa.
Ha ha ha!mkuu I knew where you was going!Huyo jamaa huwa anapenda kwenda sehemu zenye totoz tu...