Kikwete na Nyerere walikuwa ni Marafiki Sana na walitoka mbali sana Hebu watizame!

Kikwete na Nyerere walikuwa ni Marafiki Sana na walitoka mbali sana Hebu watizame!

naona meza ya kioo na ashtrays,enzi hizo smoking ndani haijapigwa bani.Na kiti alichokalia mama Nyerere nacho si mchezo kwa enzi hizo!

Kizuri ni kizuri tu,kilikiwa kizuri ,nikizuri,kitabaki kuwa kizuri hata kesho
 
Kuishi karibu na kanisa haimaanishi wewe ni mchungaji au kuishi karibu na msikiti haimaanishi wewe ni shehe.
Sawa kabisa mkuu,zaidi sana ulikuwa urafiki wa mashaka au hila hasa kwa Kikwete katika harakati za kuutafuta uraisi..
 
Mavazi na rangi za Makada

422473_10150579220866225_816798881_n.jpg
 
JK enzi zake hizo alikuwa akipendwa sana na wananchi wa kawaida.Kipindi hicho maeneo ya Sinza shekilango pale lazima ilikuwa akipita awape watu hi.

Watu tukawa tunamwona kama ni "mtu wa watu",hivi sasa mambo ni tofauti kabisa.
Meku hapo imenena bila kukosea... Vipi Sinza kulikuwa na Totoz?
 
Bado ni mtu wa watu mkuu, ila tu ameamua kuwa wa wachache na sio wa watu wote. Talk of narrowing down, strategically
JK enzi zake hizo alikuwa akipendwa sana na wananchi wa kawaida.Kipindi hicho maeneo ya Sinza shekilango pale lazima ilikuwa akipita awape watu hi.

Watu tukawa tunamwona kama ni "mtu wa watu",hivi sasa mambo ni tofauti kabisa.
 
pamoja na yote mabaya tunayoweza kumfikiria still Kikwete is a good man!....despite the political failure.
 
kweli hilikuwa kitambo lakin nasikia mpaka jamaa kuhonekana m baya baada mihera furan kupunguza kwa wakristo. kikwete halitaka hiyo mihera higawiwe sawa sawa na waislamu sasa hakina kadinari pengo wamemahindi na lingine kutoza kodi mizigo yote ya kanisa yote hanataka usawa sabb miskiti mingi ni mbavu za mbwa tofauti na makanisa ni mahekaru mazuri
 
Kweli mtu anaandika hivi baada yakufikiri kweeeeli...
Mkuu ulitaka niandike kama mawazo yako yanavyotaka mimi huwa siongei madharau kwenye post zako ambazo huwa unaandika matakataka matupu... Jiheshimu uheshimiwe mwendo we
 
Back
Top Bottom