~ Kikwete na Simba wake wa Kuchora! ~

~ Kikwete na Simba wake wa Kuchora! ~

Kama wameamua kulindana watuambie tu ili tukubali yaishe.

Mzee Mkjj

hapa kidogo nami naona Mh Mhmmhh!!. Hawa jama hakuna haja ya kuwazilia nchi, nchi ni yetu sote na hata kama wanalindana wajue kuwa hilo pilau hawataliwa kwa raha, kwani nzi wa chooni watakuwa wanazunguuka na kutua kwenye pilau hilo hawauliki hawafuziki. Lazima tuseme tusichoke hata miaka 100 mpaka uhuru wa kweli wa kugawa keki ya Tifa kwa usawa upatikane na si wengine kuambulia harufu tu.
 
Asiyekubali kushindwa sio mshindani.

Kwanini msisalimu amri tu na kukubali kushindwa? Wakati huu ndio wakati muhimu kuamua kama mapambano haya tunayaweza au tuseme tumeshindwa. Mapambano haya ni ya fikra na mioyo ya Watanzania. Nani atashinda inategemea nani anapigana. Leo zamu ya Kikwete kucheza chess yake and he surely made his move. Do we have a counter move au ndio katuambia "check mate"? na wote tumebakia na moyo wa kukata tamaa?
 
Back
Top Bottom